zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Haya Ndg hakuna shida tumewazoea mashabiki wa Simba mna maneno na kujiamini sana mwisho wa siku mnakimbia maneno yenu.Muda utasemaWasio na amani hawajui mpira. Onyango amekuja Simba akiwa MVP wa ligi ya Kenya (kama alivyokuwa Chama kwenye ligi ya Bara). Bado akiwa Simba amethibitisha hilo na hakuna beki bora hadi sasa kuliko ya Simba hapa Bara. Bado kuna Wawa, Nyoni, Kennedy, Ame, halafu mtu anakurupuka kusema mahitaji ya Simba ni beki, hivi watu huwa mnaangalia mpira kweli?