Upi ni Usajili Mzuri kati ya Abdul Razak wa Yanga SC na Chikwende wa Simba SC

Upi ni Usajili Mzuri kati ya Abdul Razak wa Yanga SC na Chikwende wa Simba SC

Wasio na amani hawajui mpira. Onyango amekuja Simba akiwa MVP wa ligi ya Kenya (kama alivyokuwa Chama kwenye ligi ya Bara). Bado akiwa Simba amethibitisha hilo na hakuna beki bora hadi sasa kuliko ya Simba hapa Bara. Bado kuna Wawa, Nyoni, Kennedy, Ame, halafu mtu anakurupuka kusema mahitaji ya Simba ni beki, hivi watu huwa mnaangalia mpira kweli?
Haya Ndg hakuna shida tumewazoea mashabiki wa Simba mna maneno na kujiamini sana mwisho wa siku mnakimbia maneno yenu.Muda utasema
 
Ame anatosha sana kama beki namba nne. Chikwende ni usajili bora kabisa. Huyu anailazimisha timu pinzani kujihami muda wote so mabeki wake hawatakua na wakati mgumu.
Huyu wa Yanga toka Burundi ni mtoto wa dada Caze kaja kula na mjomba Kama Maximo na Jaja.
Sawa tusubiri tuone kila Mchezaji mnayesajiri mnasifia hivyo hivyo mwisho wa siku mnahaibika.Muda utasema,ngoja tusubiri
 
Afu kumbe RAZAK kasaini miezi 6 tu , kama kweli ni mchezaji mzuri kwanini awe wa miezi sita na asiwe mika miwili au mitatu au yupo kwa majribio
 
Back
Top Bottom