Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Financial StableNatanguliza salamu...
Kumekua na mitazamo tofauti tofauti katika suala la mwanaume kuoa.
Nimeleta kwenu nikiwa nataka kujua upi ni mtazamo sahihi na unaoendana na dunia ilivyo kwa sasa..
Nawasilisha.
♟️Ukomavu wa akili (Kupambanua mambo, kukabili hali, Kuelewa hisia za mwingine, Kusamehe, Kukubali kosa, Kujishusha, Kusikiliza)
♟️Nidhamu binafsi ( Matumizi ya pesa na uwezl wa Kujiongoza kufanya mambo sahihi)
♟️Financially stable
♟️Uwajibikaji.
Mambo ni mengi. Si lazima uwe na yote
Nobody is perfect
Usicheke mkuuHahaha umenifanya nicheke mkuu.
Umefikia kuwaza kuaga dunia tena?
Ni wakati anapopata mwanamke wa kupendana naye, pia kuwa tayari kwa majukumu ya familia.Natanguliza salamu...
Kumekua na mitazamo tofauti tofauti katika suala la mwanaume kuoa.
Nimeleta kwenu nikiwa nataka kujua upi ni mtazamo sahihi na unaoendana na dunia ilivyo kwa sasa..
Nawasilisha.
Huu ni uongoNavyoona pale ambapo, umepata mwenza na mkakubaliana kufunga ndoa. Uko tayari kwa majukumu, kusikiliza, mawasiliano. Kuishi na mtu mliyekutana ukubwani, kuvumilia, kusamehe. N.k....
HAPANANi wakati anapopata mwanamke wa kupendana naye, pia kuwa tayari kwa majukumu ya familia.
Ova
Huu ni uoga tuuh,amna ulichoongea kinachomaanisha ni wakati sahihi wa kuoa♟️Ukomavu wa akili (Kupambanua mambo, kukabili hali, Kuelewa hisia za mwingine, Kusamehe, Kukubali kosa, Kujishusha, Kusikiliza)
♟️Nidhamu binafsi ( Matumizi ya pesa na uwezl wa Kujiongoza kufanya mambo sahihi)
♟️Financially stable
♟️Uwajibikaji.
Mambo ni mengi. Si lazima uwe na yote
Nobody is perfect
Shida ni kwamba, mwanamme ikiwa utakataa sana kuoa, unaweza jikuta unapata mawazo ya kuolewa wewe baada ya muda fulani.HAPANA
cc:kataa ndoa .NDOA NI UHUNI TUU
Usicheke mkuu
Inasikitisha kuona unataka ndoa
cc:kataa ndoa#NDOA NI UTAPELI
".....na mtu mliyekutana ukubwani"Navyoona pale ambapo, umepata mwenza na mkakubaliana kufunga ndoa. Uko tayari kwa majukumu, kusikiliza, mawasiliano. Kuishi na mtu mliyekutana ukubwani, kuvumilia, kusamehe. N.k....
Kwamba ndoa ndo ukamilifu wa jinsi!?Shida ni kwamba, mwanamme ikiwa utakataa sana kuoa, unaweza jikuta unapata mawazo ya kuolewa wewe baada ya muda fulani.
Hivyo basi, ni vema ukifika wakati mwanamme aoe na awe na mke wake mwenyewe, na kuuishi ujinsia wake kikamilifu.
Ova
Ewaaaah!sasa naona unaanza kufumbukaHahaha mkuu.
Kila nikiwaza;
#Mgawanyo wa mali (pindi mtalakianapo).
#Kuchapiwa ni siri ya ndani.
#Kitanda hakizai haramu n.k
Huwa naendelea kujenga uchumi wangu na kutafuna kuku kwa mrija.
Unaweza kuoa muda wowote tu utakapokuwa tayar kukubaliana na suala la kutom.bewaNatanguliza salamu,
Kumekua na mitazamo tofauti tofauti katika suala la mwanaume kuoa.
Nimeleta kwenu nikiwa nataka kujua upi ni mtazamo sahihi na unaoendana na dunia ilivyo kwa sasa..
Nawasilisha.
iko hivi bwana mdogo, ukitaka kuoa kuna vitu viwili ambavyo maranyingi havitokei simultaneously(right person and right time)Sorry mkuu;
Hapo ni wakati sahihi ukilinganisha na mtazamo wa dunia inavyokwenda kwa sasa.
iko hivi bwana mdogo, ukitaka kuoa kuna vitu viwili ambavyo maranyingi havitokei simultaneously(right person and right time)
mara nyingi girls wengi wanawaacha wanaume wanao wapenda wanaenda kuolewa huko sababu ni kutaka kuolewa at not right time maana kijana bado anajitafuta, au bado anasoma au hafikirii kuoa that time.
na wewe ukijitafuta ukajipata ukaona ndo wakati sahihi uoe sababu umeshajipanga, hupati mke kila mtu utaona sio right person, kila mwanamke atakufekia wife material usipo kuwa wakini utaachana na habari za kuoa sababu wanawake wote watao taka kuwa na wewe sio right person ila wanataka good life hivyo jiandae kupigiwa.
Kataa ndoa wengi wako kwenye hili kundi
Umeeleweka kwa uzuri sana mkuu, hasa ktk angle ya kupishana muda katika utayari wa mwanamke kuolewa ambapo mwanaume anakua bado hana utayari(kiuchumi).
Then mwanaume anakua tayari lakini kila amdhaniaye anahisi atamlaghai.
Mwanamme anapobalehe tu inatakiwa aoe na mwanamke akivunja ungo tu, aolewe.Natanguliza salamu,
Kumekua na mitazamo tofauti tofauti katika suala la mwanaume kuoa.
Nimeleta kwenu nikiwa nataka kujua upi ni mtazamo sahihi na unaoendana na dunia ilivyo kwa sasa..
Nawasilisha.