Upi ni wakati sahihi wa mwanaume kuoa (vitu vya kuzingatia)

Upi ni wakati sahihi wa mwanaume kuoa (vitu vya kuzingatia)

Natanguliza salamu,

Kumekua na mitazamo tofauti tofauti katika suala la mwanaume kuoa.

Nimeleta kwenu nikiwa nataka kujua upi ni mtazamo sahihi na unaoendana na dunia ilivyo kwa sasa..

Nawasilisha.

Umri sahihi ni 18.
 
Back
Top Bottom