Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MgosiMnubi Wazo zuri pia 😂Huu ni uoga tuuh,amna ulichoongea kinachomaanisha ni wakati sahihi wa kuoa
cc:kataa ndoa.NDOA NI UDANGANYIFU
Uneandika kirahisi sanaBaada ya barekhe mwanaume aoe
Hapana, ndoa hazitaki upendo, zinataka uwezo mkubwa wa kuyabeba majukumu. Ukishapata ukomavu wa kubeba majukumu ya mwanaume, ingia kwenye ndoa.Ni wakati anapopata mwanamke wa kupendana naye, pia kuwa tayari kwa majukumu ya familia.
Ova
Natanguliza salamu,
Kumekua na mitazamo tofauti tofauti katika suala la mwanaume kuoa.
Nimeleta kwenu nikiwa nataka kujua upi ni mtazamo sahihi na unaoendana na dunia ilivyo kwa sasa..
Nawasilisha.
Una umri gani?Hapana, ndoa hazitaki upendo, zinataka uwezo mkubwa wa kuyabeba majukumu. Ukishapata ukomavu wa kubeba majukumu ya mwanaume, ingia kwenye ndoa.
Kabisa 😂Zingatia Maokoto, Full stop.