iko hivi bwana mdogo, ukitaka kuoa kuna vitu viwili ambavyo maranyingi havitokei simultaneously(right person and right time)
mara nyingi girls wengi wanawaacha wanaume wanao wapenda wanaenda kuolewa huko sababu ni kutaka kuolewa at not right time maana kijana bado anajitafuta, au bado anasoma au hafikirii kuoa that time.
na wewe ukijitafuta ukajipata ukaona ndo wakati sahihi uoe sababu umeshajipanga, hupati mke kila mtu utaona sio right person, kila mwanamke atakufekia wife material usipo kuwa wakini utaachana na habari za kuoa sababu wanawake wote watao taka kuwa na wewe sio right person ila wanataka good life hivyo jiandae kupigiwa.
Kataa ndoa wengi wako kwenye hili kundi
Umeeleweka kwa uzuri sana mkuu, hasa ktk angle ya kupishana muda katika utayari wa mwanamke kuolewa ambapo mwanaume anakua bado hana utayari(kiuchumi).
Then mwanaume anakua tayari lakini kila amdhaniaye anahisi atamlaghai.