Upi utofauti wa hawa mamba wawili?

Upi utofauti wa hawa mamba wawili?

Japo mamba Aina yoypte ni hatari mzee Haijalishi hata kama akiwa katokea Ukerewe kwa Wajita

Ila kwa hao hapo juu

American Alligator (Alligator mississippiensis) sio mamba Ambaye anaweza Kukuvamia Bila kuchokozwa Ni mamba anayekwepa Sana Binadamu na Kuwaogopa Ila anaAttak pale anapopatwa na Stress yaani Kama akipata Tishio la kuhisi maisha yake yako hataruni Bhasi humuattak Mtu na kumdhuru..

Kwahyo ukimchokoza hana cha msalia mtume au Akichokozwa halafu wewe ukapita Mbele yake bhasi huna bahati

Ila

Nile Crocodile (Crocodylus niloticus) na Saltwater Crocodile (Crocodylus porosus..hawa wanavamia na kushambilia Bila kuchokozwa na Ni mamba wakali sana kuliko wote..
Sana sana Huyu Nile crocodile ni hatari sana huyu akisikia Harufu ya Binadamu kwenye maji atakimbia mpaka ampate
Asante sana kiongozi kwa elimu hii. Sasa katika hao wawili, yupi ni yupi?
 
Back
Top Bottom