MSHINO
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,069
- 713
Kuna wizi unaendelea siku ya 3 Leo kivuko cha busisi Mwanza. Wananchi wanalipia huduma ya Choo bila receipt wala machine siku ya 3 sasa. Watu wanatoa km sadaka kanisani. Nimejaribu kuuliza kwanini hawatoi receipt wala mashine nimeambiwa ni maelekezo kutoka ofisi ya TEMESA.
Pia, nimemuuliza kijana anaekusanya hizi pesa anithibitishie jinsi gani pesa zote zitafika sehemu husika. Amesema atafikisha kwa sababu anaaminika.
Tunaomba Serikali ichukue hata za haraka kuzua wizi huu.