Soul21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 210
- 351
Wizara ya elimu chini ya Professor Mkenda imeendelea na upigaji wa pesa za elimu.
Moja, wanatengeneza semina na mtaala mpya ambazo hazina kiwango cha kutosha iki kupata pesa za kuendeshea na pesa hizo zinaishia mkononi kwa watu wachache nasi walimu walio hudhuria semina hizo
Semina hizo zingeweza kutolewa kwa kurekodi video ili pesa zitakobaki ziingie kwenye kuboresha elimu ila kwa sababu ya upigaji basi wameona njia pekee ya kupiga ni kupitia semina ambazo pia haziwafikii watu wengi.
Mpango wa walimu wa amali kwenda India, walimu wenyewe wamekiri hakuna kitu kipya walichoenda kujifunza zaidia ya kukaa darasani kumezeshwa falsafa za elimu.
Waliporudi wakaitwa haraka kupelekwa bungeni ili kuonekana kwa ushahidi
Huku shule za amali zikiwa na lengo nzuri lakini mpaka sasa hazina vifaa.
Pesa ya maigizo kwenda India ililiwa na watu wachache si kwa lengo la kuboresha elimu.
Bora ingepelekwa shule hizo kununua baadhi ya vifaa.
Mwisho, walimu wanaopata semina pia wengi wanaacha mafunzo huko huku kazini wakiendelea na mfumo wa kielimu wa Kizamani hivyo mitandao itumiwe ili kuendelea kujikumbushia zaidi kuliko kula posho za bure huku mabadiliko hamna.
Lengo langu, wizara ya elimu ipunguze ujanja ujanja tu.