Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
Sijajua kun tatizo gani na hawa wakurugenzi. Inakuaje wakurugenzi hawatoi barua za utambulisho kwa mawakala. Mtendaji wa kata anahusika vipi kwenye kutoa utambulisho wa mawakala. Tanzania hatuna Tume kabisaMawakala wengi wa vyama vya siasa hawana barua, unasimamiaje uchaguzi huna barua na huna kitambulisho cha tume?
Mtajibeba leo utopolo wa lumumba! Watu na mahaba yao kwa chadema, dikteta lazima arudi chatto au aende ICCWatu miamoja mnatumia picha moja ehehe
Angalia t.v. kuanzia kesho saa mbili, matokea yatakujia mubashara usizime tv
Hii kiboko
Mtajibeba leo utopolo wa lumumba! Watu na mahaba yao kwa chadema, dikteta lazima arudi chatto au aende ICC
Hiyo ni kura yako unatuonyesha ili iweje. Mmeshindwa kuwashawishi wananchi sasa mnajifariji kwa kuvunja sheria.Pimbi kweliMtajibeba leo utopolo wa lumumba! Watu na mahaba yao kwa chadema, dikteta lazima arudi chatto au aende ICC
Tutaamini vipi. Manake huna vielelezo. Unahemka kama umetoka kushughulikiwa.Leo nimefurahi sana na misimamo ya wananzengo baada ya kukuta mawakala wote hawana barua za utambulisho hadi wakala wa chama cha Jembw na Nyundo. Msimamizi msaidizi akawatoa wote nje mpaka hapo watakapok.ilisha taratibu. Huku na huku viongozi wa CCM toka kata wakaja kushinikiza wakala wao aingie, na ndipo raia wakachachamaa kuwa kama wa mataga anaingia basi wote waingie. Ikabidi CCM wakimbie.
Ila nimependa sana hii spirit ya wapiga kura. Kumbe elimu ya mpiga kura imefanikiwa kwa kiasi fulani.
Kila la kheri uchaguzi wa 2020, na Mungu akafanikishe haki na uhuru vikatamaraki.
karibu dodoma kwenye sherehe za kuapishwa kwa JPMLeo nimefurahi sana na misimamo ya wananzengo baada ya kukuta mawakala wote hawana barua za utambulisho hadi wakala wa chama cha Jembw na Nyundo. Msimamizi msaidizi akawatoa wote nje mpaka hapo watakapok.ilisha taratibu. Huku na huku viongozi wa CCM toka kata wakaja kushinikiza wakala wao aingie, na ndipo raia wakachachamaa kuwa kama wa mataga anaingia basi wote waingie. Ikabidi CCM wakimbie.
Ila nimependa sana hii spirit ya wapiga kura. Kumbe elimu ya mpiga kura imefanikiwa kwa kiasi fulani.
Kila la kheri uchaguzi wa 2020, na Mungu akafanikishe haki na uhuru vikatamaraki.
Pimbi mama yako, leo tutawakera mpaka mjute kuzaliwaHiyo ni kura yako unatuonyesha ili iweje. Mmeshindwa kuwashawishi wananchi sasa mnajifariji kwa kuvunja sheria.Pimbi kweli
🤝Mtajibeba leo utopolo wa lumumba! Watu na mahaba yao kwa chadema, dikteta lazima arudi chatto au aende ICC
Kama anavunja sheria si mumkamateHiyo ni kura yako unatuonyesha ili iweje. Mmeshindwa kuwashawishi wananchi sasa mnajifariji kwa kuvunja sheria.Pimbi kweli