Uchaguzi 2020 Upigaji kura kituo cha Kisauke B, Madale: Mawakala wa vyama wazuiwa kuingia kwa kukosa barua, CCM wadhibitiwa na Wananchi wakitaka kupewa upendeleo

Kabuche1977

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2009
Posts
564
Reaction score
228
Leo nimefurahi sana na misimamo ya wananzengo baada ya kukuta mawakala wote hawana barua za utambulisho hadi wakala wa chama cha Jembw na Nyundo. Msimamizi msaidizi akawatoa wote nje mpaka hapo watakapokilisha taratibu. Huku na huku viongozi wa CCM toka kata wakaja kushinikiza wakala wao aingie, na ndipo raia wakachachamaa kuwa kama wa mataga anaingia basi wote waingie. Ikabidi CCM wakimbie.

Ila nimependa sana hii spirit ya wapiga kura. Kumbe elimu ya mpiga kura imefanikiwa kwa kiasi fulani.

Kila la kheri uchaguzi wa 2020, na Mungu akafanikishe haki na uhuru vikatamaraki.
 
Mawakala wengi wa vyama vya siasa hawana barua, unasimamiaje uchaguzi huna barua na huna kitambulisho cha tume?
Sijajua kun tatizo gani na hawa wakurugenzi. Inakuaje wakurugenzi hawatoi barua za utambulisho kwa mawakala. Mtendaji wa kata anahusika vipi kwenye kutoa utambulisho wa mawakala. Tanzania hatuna Tume kabisa
 
Watu miamoja mnatumia picha moja ehehe

Angalia t.v. kuanzia kesho saa mbili, matokea yatakujia mubashara usizime tv
Mtajibeba leo utopolo wa lumumba! Watu na mahaba yao kwa chadema, dikteta lazima arudi chatto au aende ICC
 
Attachments

  • VID-20201028-WA0002.mp4
    7.6 MB
Ha ha..
Mambo ni kama hivi
20201028_121003.jpeg
 
Mtajibeba leo utopolo wa lumumba! Watu na mahaba yao kwa chadema, dikteta lazima arudi chatto au aende ICC
Hiyo ni kura yako unatuonyesha ili iweje. Mmeshindwa kuwashawishi wananchi sasa mnajifariji kwa kuvunja sheria.Pimbi kweli
 
Leo nimefurahi sana na misimamo ya wananzengo baada ya kukuta mawakala wote hawana barua za utambulisho hadi wakala wa chama cha Jembw na Nyundo. Msimamizi msaidizi akawatoa wote nje mpaka hapo watakapok.ilisha taratibu. Huku na huku viongozi wa CCM toka kata wakaja kushinikiza wakala wao aingie, na ndipo raia wakachachamaa kuwa kama wa mataga anaingia basi wote waingie. Ikabidi CCM wakimbie.

Ila nimependa sana hii spirit ya wapiga kura. Kumbe elimu ya mpiga kura imefanikiwa kwa kiasi fulani.

Kila la kheri uchaguzi wa 2020, na Mungu akafanikishe haki na uhuru vikatamaraki.
Tutaamini vipi. Manake huna vielelezo. Unahemka kama umetoka kushughulikiwa.
 
Leo nimefurahi sana na misimamo ya wananzengo baada ya kukuta mawakala wote hawana barua za utambulisho hadi wakala wa chama cha Jembw na Nyundo. Msimamizi msaidizi akawatoa wote nje mpaka hapo watakapok.ilisha taratibu. Huku na huku viongozi wa CCM toka kata wakaja kushinikiza wakala wao aingie, na ndipo raia wakachachamaa kuwa kama wa mataga anaingia basi wote waingie. Ikabidi CCM wakimbie.

Ila nimependa sana hii spirit ya wapiga kura. Kumbe elimu ya mpiga kura imefanikiwa kwa kiasi fulani.

Kila la kheri uchaguzi wa 2020, na Mungu akafanikishe haki na uhuru vikatamaraki.
karibu dodoma kwenye sherehe za kuapishwa kwa JPM
 
Back
Top Bottom