Uchaguzi 2020 Upigaji kura kituo cha Kisauke B, Madale: Mawakala wa vyama wazuiwa kuingia kwa kukosa barua, CCM wadhibitiwa na Wananchi wakitaka kupewa upendeleo

unafurahia UJINGA et mkuundugu? kamanda uchwala wewe ni mfitina
 
Iyena iyena tayari huku endeeleni kulia wasap haipo hewani
Ipo hewani sema kiazi kama wewe huwezi kuipata watu tuna tupia kama kawaida. Endelea kuiba kura wewe mchambia gunzi
 
Suala la mawakala kutokuwa na barua za utambulisho ni mtihani na uchafu. Watu wanaanzaje kupiga kura bila mawakala?

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Huyo 'Msimamizi' anastahiri kupata tuzo; na hao wananchi walioonyesha ujasiri huo ni chachu ya kuleta mabadiliko.
 
Sijajua kun tatizo gani na hawa wakurugenzi. Inakuaje wakurugenzi hawatoi barua za utambulisho kwa mawakala. Mtendaji wa kata anahusika vipi kwenye kutoa utambulisho wa mawakala. Tanzania hatuna Tume kabisa
Walijipanga kuiba kwa njia hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…