Upigaji kura kwa njia ya posta uanze kutumika Tanzania

Upigaji kura kwa njia ya posta uanze kutumika Tanzania

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Hii njia nimeiona ndio suluhu ya kuondoa malalamiko kwa juu ya mawakala kufukuzwa au kuzuiw kufanya kazi.

Sheria ya uchaguzi ya Tanzania ibadilishwe tuwe tunapiga kura kwa njia ya posta.

Watendaji wa vijiji na mitaa wawe wanagawa karatasi za kupigia kura, tunaenda kutumbukiza posta.

Mawakala wanakuwepo posta kukusanya na kwenye kuhesabu matokeo eneo moja la kujumulishia. Hapa kila chama kitakuwa na wakala makini.

Kwa kufanya hivi tutaondoa malalamiko kwenye chaguzi zetu.
 
Mkuu hii ni asubuhi sana na ni siku takatifu usiinajisi na mawazo yako kisiasa
 
Afrika bila tume huru ya uchaguzi, hata angekuja malaika kusimamia chaguzi watawala wataiba tu. tunao muda wa kudai tume huru ya uchaguzi, mdudu katika chaguzi za kiafrica ni tume ya uchaguzi si kingine.
 
Africa bila tume huru ya uchaguzi, hata angekuja malaika kusimamia chaguzi watawala wataiba tu. tunao muda wa kudai tume huru ya uchaguzi, mdudu katika chaguzi za kiafrica ni tume ya uchaguzi si kingine.
Pamoja na tume huru,suala la mawala makini pia ni muhimu.
Kenya kuna tume huru,lakini naona wapinzani wanalia kila siku
 
Internet tu hamna, mkipiga kura kwa posta si ndio mtahujumiwa mpaka baaaasi
Hapana kaka wala usipanick. Ishu ni kuwa na mawakala wa uhakika. Kuna kuwa na wiki ya kupiga kura,mawakala wanakuwepo posta kuhakikisha hamna wizi. Na kwenye kuhesabu na kujumlisha ambapo ni kituo kimoja mkoa mzima. Tujifunze kwa wenzetu.
 
Back
Top Bottom