Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Yamekuwa hayo tena? Kutoa maoni kuna siku maalumu?Mkuu hii ni asubuhi sana na ni siku takatifu usiinajisi na mawazo yako kisiasa
Pamoja na tume huru,suala la mawala makini pia ni muhimu.Africa bila tume huru ya uchaguzi, hata angekuja malaika kusimamia chaguzi watawala wataiba tu. tunao muda wa kudai tume huru ya uchaguzi, mdudu katika chaguzi za kiafrica ni tume ya uchaguzi si kingine.
Hapana kaka wala usipanick. Ishu ni kuwa na mawakala wa uhakika. Kuna kuwa na wiki ya kupiga kura,mawakala wanakuwepo posta kuhakikisha hamna wizi. Na kwenye kuhesabu na kujumlisha ambapo ni kituo kimoja mkoa mzima. Tujifunze kwa wenzetu.Internet tu hamna, mkipiga kura kwa posta si ndio mtahujumiwa mpaka baaaasi