rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 161
- 128
UPIGAJI MKUBWA FEDHA za SERIKALI RC SONGWE AKATAA MATUMIZI ya MIL 411 UJENZI wa SOKO la WAMACHINGA
Nadhani ifike wakati Watanzania kwa pamoja kuamka na kuanza kupinga vitu kama hivi, ikiwezekana kwa maandamano. Kuonyesha hisia kwa pamoja kwa walio madarakani kuwa kodi zetu tunazochanga sio pesa zao binafsi. Maana imeshazoeleka watu wanaiba pesa na kusema takukuru fanyeni uchunguzi. Na baada ya hapo hamna kinachoendelea. Hii inafanya tuamini kuwa wapigaji wanacheza michezo kama hii wakishirikiana na takukuru. Na ndio maana hamna kinachoendelea na wapigaji wanaendelea kupiga bila kuchukuliwa hatua au hata kufilisiwa.
Ebu angalia hivyo vyumba viliwi sijui vitatu vimejengwa kwa Shilingi Milioni 441. Na anayeulizwa anajibu kwa confidence kuwa kuna wizi na takukuru wanasema ndio tuko kwenye uchunguzi mwezi wa pili unakwenda wa tatu. Hii inaashiria na wao wanakitu nyuma ya pazia au...?
Hizi pesa ni nyingi sanaa na ni kodi zinakatwa kwenye miamala, kodi za masoko, kodi za mafuta, kodi za makato kwenye benki, kodi za simu nk. Na watu wachache wanakula bila huruma.
Mimi naona Watanzania inabidi tupinge kwa pamoja upigaji kwa huu. Kodi zetu zitumike kuleta maendeleo na sio blah blah za wamekula, takukuruu... nk mwisho ndio wamekula na wanaendelea na kazi.
Inasikitisha sana...!! Au wadau mna mtazamo gani?

Upvote
1