Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Ckia ndugu kuna some people hawapendi kuongelea hadharan sababu ni jambo la fedhea, ndio mana nkasema waje pm. Hata hvyo sio lazma kuntafuta bali yule atakaehitaji msaada bac atanchek
Hapa sio fesibuku bwana huku ni ID fake ndiomaana nimetoa mchango huru wa hisia zangu light kama ingekua twa tumia majina ya kweli nisingeweza changia chochote ndugu so. Ukiwa hapa be free my friend
 
Hapa sio fesibuku bwana huku ni ID fake ndiomaana nimetoa mchango huru wa hisia zangu light kama ingekua twa tumia majina ya kweli nisingeweza changia chochote ndugu so. Ukiwa hapa be free my friend
Ucjal mkuu na mm ndio mana nkasema mwenye atantafuta private then ntamsaidia. Lengo tusaidiane hili tatizo linatuangamiza sana vijana yan sana!. Mkuu ngoja nkwambie tu kwann nliamua kuitafuta hii dawa, ni hivi niliwai kuwa na dem ndio alikuwa na hii shida yan ilikuwa kila tukikutana kabla hatujafanya yetu ilikuwa tukianza tu romance bac anakustopsha kwanza ajichezee had amalize then ndo anakwambia haya endelea sasa, yan alikuwa hasikii raha bila kujichua kwanza ndo muendelee. Yan ndo nlimkuta ana hyo tabia wkt naanza nae mahusiano, ndipo nlipotafuta solution/dawa ya kutibu hili tatizo. Mkuu amini kwamba nowadays hawa dada zetu wanafanya sana huu mchezo yan hata ukitaka kuwajua kwa macho wazoefu wa huu mchezo naweza nikakupa signs zao ukawajua
 
Japo mbili hzo signs mkuu
Haaahh mkuu kwa hapa utansamehe cwez kutoa siri za watu hzo labda uknipm naweza kukutell, bt most of them ni hawa slay Queens wanaotuvimbia mitaan kumbe behind the scenes wanafanya huu upuuz,huwa nacheka af nawaonea huruma sana. Hata huyo dem nliyekuwa nae ni design ya hawa sister duus yan umdhanii ukimuona anavyojipimp mwenyewe ila now nishamtema coz nisingeweza kuanzisha family nae
 
MLETA MADA ACHA UJANJA WA NYANI KULA HINDI BICHI WAKTI KAKALIA GOGO LENYE MOTO, HUMU NDANI NI WACHACHE SANA WANAOTUMIA MAJINA HALISI NI KITU GANI KINACHOKUZUIA KUTOA HILO SULUHISHO AU WEWE NDIO MWENYE SHIDA? USIKUTE UNATAFUTA BASHA KISELA
 
Naona umeona fursa na unaifuatilia,
Niandae sh ngapi kabla sijaja
 
Mimi jinsia yangu ni me. Nna hilo tatizo kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Nisaiadie nifanyeje ili liishe
 
Jipu umetisha, mm nataka nikuchape ww
Hahaha mkuu labda uje nikupe mbegu ya mti wa fimbo ya upako ukaupande nyumbani kwako kwa sadaka ndogo tu ili ukikua uanze kutoa huduma
 
Kama wewe kaka au dada una tatizo la kujichua kwa muda mrefu bila kuacha, nichek pm ila niambie kabisa jinsia yako nikuelekeze ya kufanya na utaacha kabisa uo mchezo/tabia
Nnashindwa kukutumia Sms Dm mkuu
 
Labda muwe mnakwenda na msalani pamoja, maana kuna wengine akipata tu kaupenyo utashangaa tayari krakatoa kitu na kuwa mwepesi
mzee endelea tu kuacha labda uwe busy 24hrs na usiwe unalala peke yako usiku
 
Back
Top Bottom