Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Hello,

Kuna kuna makala nilisomaga kama miaka mitatu iliyo pita hapa jamii forum
ya jinsi ya kuacha punyeto.

Kuna maneno unayarecord alaf unakua unayasikiliza kila siku na yalinisaidia sana.

Imepita mda mrefu sasa nimejikuta nimerudi tena uko.

Nilikua naomba kama kunamtu anayo yale maneno.

Naomba anisaidie nitashukuru sana.

Ahsante.
 
Hello,
kuna kuna makala nilisomaga kama miaka mitatu iliyo pita hapa jamii forum
ya jinsi ya kuacha punyeto...
Ukiona hivyo ujue haujaamua kuacha bado, ila kukusaidia tu ni kwamba tabia huwa inabadilishwa na tabia simple kama hivyo.
means tafuta mbadala wa punyeto
 
Upigaji wa punyeto au kujichua hupunguza sana nguvu za kiume na hata kuua kabisa nguvu hizo za kiume. Ni jambo ovu na hatari kabisa kwa afya ya mwanaume.

Moja ya sababu za kupungua nguvu za kiume kwa vijana wengi na hata baadhi ya watu wazima, ni mtindo mbaya wa kujichua au kwa lugha nyingine ‘kupiga punyeto’ tendo ambalo kwa Kiingereza linalojulikana kama masturbation.

Watu wengi hawafahamu madhara ya masturbation, hali ambayo huwasababisha kujikuta wamedumbukia katika chama cha upungufu wa nguvu za kiume. Mbali na kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, masturbation ina madhara mengi ya kiafya (kimwili na kisaikolojia).

Haya ndo madhara ya kupiga punyeto

1. Kupata maumivu unapo rudia tendo round ya pili.

2. Kukosa hisia baada ya kufika kileleni round ya kwanza.

3. Kupoteza stamina wakati wa tendo na uume ulala unapo badilisha staili.

4. Aliye jichua uume urudi ndani ya tumbo yani uwa mdogo kama wa mtoto.

5. Kukosa kujiamini ukiwa na mpenzi wako.

Kutoa mbegu dhaifu adi kushindwa kusababisha kumpa mwanamke ujauzito.

6. Kupata maumivu ya kiuno na nyonga , Pia

Unapo shiliki na mwanamke umaliza ndani ya muda mfupi sana.

7. Raha ya kujichua hupitiliza zaidi ata ya kufanya na mwanamke.

8. Ukiwa na mpenzi wako uume hausimami lakini akiondoka tu unasimama.(yani unapokua mwenyewe ndio uume unasimama akiwepo mwanamke unalala).

9. Ukimaliza kushiriki tendo bado utaenda bafuni kujichua (uwezi kulizika kushiriki tendo na mwanamke mpaka ukajichue ndo hamu zako ziishe).

10. Kufika kileleni kabla hata ya tendo ukiwa na mwanamke /yani kipinda unamwandaa wewe unakua tayali usha fika kileleni.

MWISHO
mimi sio doctor ila nimepita pita uko nimeliona ili watu wengi wamekua na hii shida guys Then kama una chochote cha kuongeze maybe ushauli au nyongeza please unaweza ongezea apo.
 
Wacheza TASNIA Wote duniani wanapiga punyeto, Sio wanaume sio wanawake.

Tena mara nyingi inapigwa kabla ya kuingia kwenye tendo husika.

(Wao Wanaita blowjob, Ni Kama chachandu ya tendo husika)

Na Hakuna mwenye matatizo Ayo unayoyaongelea wewe.

Hakuna ushahidi wa Moja kwa moja unayoihusisha punyeto na Ayo unayoyaongelea.

Kapime afya yako mtoa mada
 
Mtoa mada apuuzwe na kila member mwenye akili timamu[emoji4]
images-326.jpg
 
Upigaji wa punyeto au kujichua hupunguza sana nguvu za kiume na hata kuua kabisa nguvu hizo za kiume. Ni jambo ovu na hatari kabisa kwa afya ya mwanaume.

Moja ya sababu za kupungua nguvu za kiume kwa vijana wengi na hata baadhi ya watu wazima, ni mtindo mbaya wa kujichua au kwa lugha nyingine ‘kupiga punyeto’ tendo ambalo kwa Kiingereza linalojulikana kama masturbation.

Watu wengi hawafahamu madhara ya masturbation, hali ambayo huwasababisha kujikuta wamedumbukia katika chama cha upungufu wa nguvu za kiume. Mbali na kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, masturbation ina madhara mengi ya kiafya (kimwili na kisaikolojia).

Haya ndo madhara ya kupiga punyeto

1.Kupata maumivu unapo rudia tendo round ya pili.

2.Kukosa hisia baada ya kufika kileleni round ya kwanza.

3.Kupoteza stamina wakati wa tendo na uume ulala unapo badilisha staili.

4. Aliye jichua uume urudi ndani ya tumbo yani uwa mdogo kama wa mtoto.

5. Kukosa kujiamini ukiwa na mpenzi wako.

Kutoa mbegu dhaifu adi kushindwa kusababisha kumpa mwanamke ujauzito.

6. Kupata maumivu ya kiuno na nyonga , Pia

Unapo shiliki na mwanamke umaliza ndani ya muda mfupi sana.

7. Raha ya kujichua hupitiliza zaidi ata ya kufanya na mwanamke.

8. Ukiwa na mpenzi wako uume hausimami lakini akiondoka tu unasimama.(yani unapokua mwenyewe ndio uume unasimama akiwepo mwanamke unalala)

9. Ukimaliza kushiriki tendo bado utaenda bafuni kujichua (uwezi kulizika kushiriki tendo na mwanamke mpaka ukajichue ndo hamu zako ziishe)

10. Kufika kileleni kabla hata ya tendo ukiwa na mwanamke /yani kipinda unamwandaa wewe unakua tayali usha fika kileleni.

MWISHO
mimi sio doctor ila nimepita pita uko nimeliona ili watu wengi wamekua na hii shida guys ... Then kama una chochote cha kuongeze maybe ushauli au nyongeza please unaweza ongezea apo.
utoaji wa sperm unategemeana na hisia amabazo unajipa hat iwe godro, pussxy , mkono , msuguano kidogo wa nguo sasa swali hii hizo sperm zianjuaje kwamba huu ni mkono ??? na sio pussxy
 
Swali zuri Sana[emoji2]

Mtoa mada Ni mzushi TU Kama wazushi wengine
 
Nenda nae taratibu
Mtoa mada Hana hoja,

Na Kwasababu keshazoea uzushi,

Kesho atakuja kusema NDOTO NYEVU kwa wanaume INA MADHARA KIAFYA kwasababu sperm zimetoka bila kuihusisha papuchi.

Au atasema wanawake wanaojichua,
Papuchi zao zitakua hazina utelezi kwasababu mwanamke amepiga bao bila kuhusisha Mb** ya mwanaume[emoji4]
 
Masturation is having sex with some one you love and trust the most.No risk of diseases,disapointments,unwanted pregnancy etc.I wapo unafikiri inakuathiri basi achana nayo ila iwapo unafikiri haikuathiri keep doing it.After all ejaculation is just ejaculation.

Ila ni kweli ukizoea Punyeto,Hakuna mwanamke anayeweza kukupa kiwango hicho cha raha mpaka uamue kuachana na punyeto.
 
Upigaji wa punyeto au kujichua hupunguza sana nguvu za kiume na hata kuua kabisa nguvu hizo za kiume. Ni jambo ovu na hatari kabisa kwa afya ya mwanaume.

Moja ya sababu za kupungua nguvu za kiume kwa vijana wengi na hata baadhi ya watu wazima, ni mtindo mbaya wa kujichua au kwa lugha nyingine ‘kupiga punyeto’ tendo ambalo kwa Kiingereza linalojulikana kama masturbation.

Watu wengi hawafahamu madhara ya masturbation, hali ambayo huwasababisha kujikuta wamedumbukia katika chama cha upungufu wa nguvu za kiume. Mbali na kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, masturbation ina madhara mengi ya kiafya (kimwili na kisaikolojia).

Haya ndo madhara ya kupiga punyeto

1.Kupata maumivu unapo rudia tendo round ya pili.

2.Kukosa hisia baada ya kufika kileleni round ya kwanza.

3.Kupoteza stamina wakati wa tendo na uume ulala unapo badilisha staili.

4. Aliye jichua uume urudi ndani ya tumbo yani uwa mdogo kama wa mtoto.

5. Kukosa kujiamini ukiwa na mpenzi wako.

Kutoa mbegu dhaifu adi kushindwa kusababisha kumpa mwanamke ujauzito.

6. Kupata maumivu ya kiuno na nyonga , Pia

Unapo shiliki na mwanamke umaliza ndani ya muda mfupi sana.

7. Raha ya kujichua hupitiliza zaidi ata ya kufanya na mwanamke.

8. Ukiwa na mpenzi wako uume hausimami lakini akiondoka tu unasimama.(yani unapokua mwenyewe ndio uume unasimama akiwepo mwanamke unalala)

9. Ukimaliza kushiriki tendo bado utaenda bafuni kujichua (uwezi kulizika kushiriki tendo na mwanamke mpaka ukajichue ndo hamu zako ziishe)

10. Kufika kileleni kabla hata ya tendo ukiwa na mwanamke /yani kipinda unamwandaa wewe unakua tayali usha fika kileleni.

MWISHO
mimi sio doctor ila nimepita pita uko nimeliona ili watu wengi wamekua na hii shida guys ... Then kama una chochote cha kuongeze maybe ushauli au nyongeza please unaweza ongezea apo.
MWENYE KITI CHAPUTA KANDA MAALUM! KMA UNATUSKIA! OVER..! TUNASHAMBULIWA HUKU! ADUI ANA SILAHA KALI ZA KIVITA..😅
 
Back
Top Bottom