Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

There is a man affected with masturbations for a long time about 6yrs both physically and mentally
How can he totally get recovered
 
There is a man affected with masturbations for a long time about 6yrs both physically and mentally
How can he totally get recovered
Dawa sahihi na iliyo bora huwa ni kuacha

I have the same situation too...6yrs nasukuma nyeto

Kichocheo changu ilikuwa ni porno...tangu nimeacha kuangalia porno though kwa vita kali na akili yangu imenipunguzia utumiaji wa punyeto to some extent

Naona hata performance kitandani inarejea mdo mdo..

Though kuacha nyeto huwa si hatua ya siku moja
 
HABARI ZENU WA KUU

Niaze kwa shukurani
Mtanivumilia kwa muandiko wangu mbya kwa maana mimi ni MSUKUMA ninae ishi TEXAS [emoji1787][emoji1787]

KWA MIAKA MINGI BADO NAJIULIZA PUNYETO NININI? ILA SASA NIMEGUNDUA PUNYETO NI MZIMU .na kwanini. Nasema ni mzimu

Kwa miaka mingi nimejaribu kuwacha ila imedhindikana kabisa ila kila ninapo fanya kuna roho inaniambia hii ndio ya mwisho sirudi tena ila ninapo maliza na kukaa siku mbili naitaji tena

Nimepiga punyeto kwa zaidi ya miaka 17 na sasa nipo kwenye ndoa na mzimu huo bado unanifatilia kiukweli punyeto ni tamu kuliko Uke niko tayari kuacha na nimeshindwa

Kwa upande wa mazara kiukweli nina uume nchii tatu ila ukisimama unafika adi nchi saba baadh ya wanawake wanashangaa sana wanapo uona yaan anaisi ni kibamia baada ya sekunde linakuwa dude kubwa hapo ndipo wanapo shanga

Na kiukweli ninapo fanya mapenzi na mwanamke natumia dakika 30 hadi 40 kwa bao moja hapo ndipo nashanga tafit nyingi uonesha wanao fanya punyeto uwai kukojoa HIYO SI KWELI

Kiukweli kwa miaka mingi nilio fanya iyo tabia sijawai pata mazara mengi ila tatizo nililo nalo na ndio kubwa HISIA KWANGU YA KUFANYA MAPENZI IMEPUNGU KWA ASILIMIA 60 ila uume wangu bado unasimama vema

KAMA UNAUSHAURI AU TIBA SAHIHI YAKUNISAIDIA AU MAWAZO YAKUNIPA NIPE NTAKUSHUKURU
KWAN NATAKA KUACHA HILA NIMESHINDWA NAJISIKIA UNYONGE SANA NINAPO SEX NA MKE WANGU MARA MOJA AU MBILI KWA WIKI

NAITAJI KUWA NA HISIA ZA KIMAPENZI KWA KIWANGO KIKUBWA SANA (bila kusahau huwa napiga punyeto na mate tu na sio mafuta)

NATOA TENA samahan kwa uandishi wangu mbaya KARIBUNI NAKARIBISHA MAWAZO.
 
Huwezi acha Chaputa kaa hujakua na nia ya dhati kutoka moyoni.

Ila mbona inaachika tu

1-amua kwa dhati
2-jitenge na mazingira yanayokupelea kupiga puchu
3-acha kuangalia pilau au picha za kutamanisha
4- unaweza tafuta ushauri wa kisaikolojia pia.


Kila la kheri
Asanteh sana nitajitaidi kabisa kukaa mbali na hivyo vitu japo mimi sio mpz wa kuangalia picha za ngono
 
Punyeto ni ngumu sana kuacha ila kama unaamua kwa dhati kuiacha hakikisha unamshirikisha Mungu kwanza cha pili ichukie , namaanisha ichukie haswa yan kutoka moyoni vingnevo n ngumu sana kuacha
Yaan naichukia sana hasa ninapo maliza kufanya ila nikikaa siku tatu nne najikuta tayar hamu inanishika kwa kiasi kikubwa sana hata kama nipo barabaran mashine inasimama mpaka nifanye ndio akili ukaa sawa
 
Mimi kuna dem nilimpigia nyeto toka dalasa/darasa la kwanza mpaka form 4 hata siku hizi bado huyo demu ananifata fata kwenye hisia sura yake niliitengeneza kwenye hisia zangu
Hahaha ebu niambie je mpaka sasa unampigia nyeto na kama umeacha umetumia mbinu gani
 
sisomi uzi wako unaandika hovyo hovyo. Honekana ndiyo mdudu gani. Eti mazara, nyoooo
 
Back
Top Bottom