• Umejaribu kuacha, lakini umeshindwa.
• Unajua kuwa ni kosa ( ki maadili na ki afya ), lakini haujui ni namna gani uache.
• Unajiambia mwenyewe kuwa hii ni mala yangu ya mwisho, sitorudia tena, na huenda umejisemea hivi mala nyingi sana bila mafanikio.
• Mala kwa mala unajaribu kuacha kutokana na nia yako nzuri, lakini unajikuta unarudia tena.
Mimi ni nani ?
Wengi wanasumbuka kuacha, kupiga mkono na kutazama pilau, kwasababu ya kutokujitambua na kuelewa uwezo wao.
Wengi wamekuwa ni watu wanao jisemea, " ... ninalotaka kulifanya silifanyi, lakini ninafanya nisilotaka kulifanya " ... anataka kuacha kabisa kupiga mkono ( kujichua na kutazama kideo cha pilau ) , lakini mwisho wa siku anajikuta anafanya hayo asiyo yapenda.
Hii inatokana na mtu kutojua uwezo wake harisi, au nguvu alizo nazo kimaamuzi.
Watu wengi wamesikia na kuambiwa kwamba hawawezi kuacha kujichua na kutazama picha za ngono, na kwamba wataendelea kuwa hivyo hadi uzee wau au hadi watapo kuwa wameoa.
Andika majibu kuanzia matano kwa kila swali, katika kurasa tofauti;
1. Ninajihisi sina nguvu ya kujizuia kupiga mkono na kuangalia kideo cha utupu, kipindi ambacho (mfano, nina bundel la net, au nyege, au maongezi ya kikubwa n.k ... )
2. Najihisi kuongozwa kutazama picha za pilau na kupiga nyeto kipindi ambacho .... ( mfano, mpweke n.k... )
3. Ninalaumu wengine kipindi nikitazama pilau na kupiga mkono .... ( mfano, wakikushawishi, au maongezi yao n.k )
Sasa chukua majibu uliyo yaandika kutokana na hayo maswali hapo juu, na kuandika mamuzi sahihi na yenye nguvu zidi ya kila swali moja wapo hapo juu.
N:B Mniwe radhi kwenye uandishi wangu hata kama nitachanganya kati ya R na L, na nyinginezo.... ... hatua zingine na ukweli juu ya jambo hili la watu kupata tabu ya kujichua na kutazama pilau... zitafuata na namna ya kuwa huru kabisa... mda ni ndefu...
C.C
Dirisha la Jirani
C.C
Agustino87
C.C
Duduvwili
C.C
dogo kubwa