Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Sio mwanafunzi mkuu na mda mwingi nashinda dukani na nikirudi napitiliza ghetto na kulala.marafiki wengi tunaonana jumapili tu na kuwasiliana tu.na pornography najitahidi saana kuacha kuangalia lakini nashindwa kabisa nikijitahidi saana Ni siku 3
Bas suluhu hapo ni mke tu. Kwanini usioe tu na wew si mwanafunzi? Ukiwa na mashine OG karibu yako utaacha puchu automatically
 
G_real, ]Imekupasa kuua mwli wa nje ufufue wa ndani. Nguvu ya kushinda iko ndani yako, lakini sasa hapo ulipo unatawaliwa na mwili wa nje. Namna pekee ni kufunga na kufanya toba. Funga siku 21 nawe utakuwa huru kabisa
 
Imekupasa kuua mwli wa nje ufufue wa ndani. Nguvu ya kushinda iko ndani yako, lakini sasa hapo ulipo unatawaliwa na mwili wa nje. Namna pekee ni kufunga na kufanya toba. Funga siku 21 nawe utakuwa huru kabisa
Asante mkuu
 
Watu wapo ndoani na bado wanapiga mkono, wewe upo single na unataka uache mkono? You're not serious!!
 
1.Acha kutazama pornography na kusoma masimulizi ya vichocheo

2.Tumia muda mwingi kuomba Mungu na kushiriki ibada nafsi inapoimalika itakupa nguvu kuutawala mwili.

3.Angalia aina ya marafiki pia unaokuwa nao mnatumia muda mwingi jadili nini

NB. usioe kwanza kwa sababu ya kuepuka jichua hakikisha mpaka akili imepona tatizo la masturbation na imekuwa normal sababu ukizoea kujichua unatengeneza akili isiyojua uhalisia wa tendo la ndoa
 
1.Acha kutazama pornography na kusoma masimulizi ya vichocheo

2.Tumia muda mwingi kuomba Mungu na kushiriki ibada nafsi inapoimalika itakupa nguvu kuutawala mwili.

3.Angalia aina ya marafiki pia unaokuwa nao mnatumia muda mwingi jadili nini

nb. usioe kwanza kwa sababu ya kuepuka jichua hakikisha mpaka akili imepona tatizo la masturbation na imekuwa normal sababu ukizoea kujichua unatengeneza akili isiyojua uhalisia wa tendo la ndoa
Asante mkuu
 
Mkuu umesahau kumpongeza pia anamiliki mkebe town.
Minakupongeza sana, na ninasikitika kwanini unataka kutoka chaman. Na ili upate raha pasi tashwishwi, nakushauri uanze kunyetuka kwa kutumia sabuni ya unga, na wala hauto juta nakuambia
 
Unawaza utakachokifanya: mfano ukiwaza pesa utaanza kizitafuta japo zinaweza kukosa ukiwaza papuchi lazima upige nyeto au uipate so control mawazo yako kaka
Asante mkuu[emoji122]
 
Zinataka hela hizo nyuchi ambazo ni sh5000na kuendelea...
Bando miatano tu la airtel mb150 masaa24.Vijana hela hatuna na mademu wanataka kuhudumiwa kabla hawajaolewa...
Kuna ukweli hapa, madem kiukweli karibia wote wanataka hela, usipoangalia utajikuta vihela vyako kidogo vinakombwa vyote ! By the way masturbation nayo sio nzuri
 
G_real, Baba tafuta demu ambaye atakuwa akikupa show anytime you want anakupa asilimia kubwa ya wapiga pull wengi hawana mademu ebu jaribu kuwa na demu Kama mwaka alaf uje upige pool Kama Ina ladha pussy tamu at I chaputa apana
 
Back
Top Bottom