Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

@G_real,Tafuta mashine chapa mtu isiyo na uchoyo ukae nayo karibu uwe unapata dozi mfulilizo mpaka utasahau.
 
Jambo ambalo umekuwa ukilifanya kwa muda na kujenga tabia ila unataka kuliacha ghafla kama kuzima taa ni ngumu unaweza kujizuia kwa muda ila ukarudi tena kwa kasi,anza taratibu kwa kupunguza mfano mpanga kwamba kwa siku upige labda mara mbili tu na porn unawwza ukapanga uangalie usiku tu,kwa maoni yangu kama ukifanikiwa hivyo ndio unaweza kuendelea kupunguza huo ulevi hadi kufikia kutokuwa addicted na hivyo vitu au kuacha kabisa.
 
This is it
G_real, ]Imekupasa kuua mwli wa nje ufufue wa ndani. Nguvu ya kushinda iko ndani yako, lakini sasa hapo ulipo unatawaliwa na mwili wa nje. Namna pekee ni kufunga na kufanya toba. Funga siku 21 nawe utakuwa huru kabisa
 
Kama hujaoa basi karibu chama cha Mabaharia wa nchi kavu.

Ila utafikia chama cha Mabaharia Chipukizi kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hah mkuu sijaoa , kuna kidem nimekipata cha first year, ndio kimenipa jeuri ya kujitoa chamani, na amenihakikishia kunipa huduma atleast mara 3 per week..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chaputa makao makuu

P.o.box 2019

Mkononi ,mkuyenge

19/12/2020

Ref: Kujitoa kwenye chama bila taarifa

Husika na mada tajwa hapo juu barua hii inapinga vikali kitendo cha ndugu entrepreneur kujitoa kwenye chama bila kutushirikisha ofisi kuu pia ofisi inapenda kupinga na kuonya wale wanachafua chama kwa makusudi sheria Kali itachukuliwa juu yao


Imetolewa na ofisi ya Chaputa

Chaputa makao makuu

Mkononi,mkuyenge

Mwenyekiti kivuli

Cc mlevi mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hah mkuu sijaoa , kuna kidem nimekipata cha first year, ndio kimenipa jeuri ya kujitoa chamani, na amenihakikishia kunipa huduma atleast mara 3 per week..


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mara tatu tu kwa week?

Kama bado kadi ya chama unayo nakushauri usiirudishe
Jibu la joanah liko clear kabisa.

Kama ulikuwa chamani kabisa ukapewa kuwa mjumbe wa kamati, basi amini mara tatu hutamudu kwa wiki.
Utakuwa unaibia mara moja moja majibu ya chaputa!

Wakati najitoa CHAPUTA 2014, nilitafuta mtu wa kumpata kila siku. Ikipita siku moja tu basi ya pili anakuja tena siyo wakubahatisha. Yaani wa uhakika.
Akitoka tu, natafuta mwingine, hivyo yaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom