M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Jun 5, 2023 #41 mrangi said: [emoji1] typing error Ova Click to expand... Mkuu utasikia mtoto wa flani very smart πππππ
mrangi said: [emoji1] typing error Ova Click to expand... Mkuu utasikia mtoto wa flani very smart πππππ
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Jun 5, 2023 #42 Maghayo said: Yani wote hapo wagalatia. Kobaaz mmoja tu. Hongereni kina Accumen Mo Covax adriz Dalmine kimsboy Wagalatia tumrudieni Yesu natufanye toba jamani. Kutoka moyoni kabisa bila unafiki nawapa hongera. Click to expand... Hakuna dini inasapot uwizi na dhulma ,ukiona mtu awe muislamu au mkristo anafanya utapeli ,wizi au dhulma ni kwamba kaendea njia ya shetani.
Maghayo said: Yani wote hapo wagalatia. Kobaaz mmoja tu. Hongereni kina Accumen Mo Covax adriz Dalmine kimsboy Wagalatia tumrudieni Yesu natufanye toba jamani. Kutoka moyoni kabisa bila unafiki nawapa hongera. Click to expand... Hakuna dini inasapot uwizi na dhulma ,ukiona mtu awe muislamu au mkristo anafanya utapeli ,wizi au dhulma ni kwamba kaendea njia ya shetani.
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 Jun 5, 2023 #43 magu2016 said: Mama yako! Click to expand... Nguruwe jike! Sasa sijui mama yako atakuwaje!
M magu2016 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 8,027 Reaction score 7,115 Jun 5, 2023 #44 Ileje said: Nguruwe jike! Sasa sijui mama yako atakuwaje! Click to expand... Atakuwa nguruwe ndume!
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Jun 5, 2023 #45 Maghayo said: Yani wote hapo wagalatia. Kobaaz mmoja tu. Hongereni kina Accumen Mo Covax adriz Dalmine kimsboy Wagalatia tumrudieni Yesu natufanye toba jamani. Kutoka moyoni kabisa bila unafiki nawapa hongera. Click to expand... Wizi ni tabia ya mtu japo Kuna mchungaji aliwahi kusema yeye anapenda kufanya kazi na vijana wa kiislamu sababu mara chache kufanya dhuluma na Wizi.
Maghayo said: Yani wote hapo wagalatia. Kobaaz mmoja tu. Hongereni kina Accumen Mo Covax adriz Dalmine kimsboy Wagalatia tumrudieni Yesu natufanye toba jamani. Kutoka moyoni kabisa bila unafiki nawapa hongera. Click to expand... Wizi ni tabia ya mtu japo Kuna mchungaji aliwahi kusema yeye anapenda kufanya kazi na vijana wa kiislamu sababu mara chache kufanya dhuluma na Wizi.
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Jun 5, 2023 #46 bongo dili said: Umewaona wamekamatwa Click to expand... Oohh sikia tu ...wako segerea dhamana hamna.....kesi mbaya sana wastaafu hawa
bongo dili said: Umewaona wamekamatwa Click to expand... Oohh sikia tu ...wako segerea dhamana hamna.....kesi mbaya sana wastaafu hawa
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jun 5, 2023 #47 Mafisadi hayafungwi kwakuwa yana pesa mingi yatatoka hata yakiwa na kesi elfu 1 ,penye hudhia penyeza rupia.
Mafisadi hayafungwi kwakuwa yana pesa mingi yatatoka hata yakiwa na kesi elfu 1 ,penye hudhia penyeza rupia.