JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kuna michongo inaendelea kimyakimya, ni kama vile Wabongo hawajui kinachoendelea lakini kiuhalisia wachache nao wanaojua wameona bora wakae kimya.
Inakera lakini tutafanyaje, ndiyo tumeaachia Wabongo wapige kimyakimya.
Huu mchongo wa kuuza jezi na bidhaa nyingine zenye nembo ya klabu zinaendelea kuiingizia mzigo wa maana GSM lakini hakuna anayefungua mdomo kubwatuka
Kuna kigogo mmoja mzito wa Yanga, juzi kati alikuwa akiwaelezea baadhi ya rafiki zake kuhusu upigwaji huo unaendelea klabuni hapo.
Kwa sasa jina linaweka kapuni lakini jamaa anakwambia kuwa idadi rasmi ya mauzo ya jezi inayojulikana ndani ya GSM na ile inaojulikana klabuni ni vitu viwili tofauti.
Kibaya zaidi kumbe hata zile bidhaa mbalimbali wanazouza zikiwa na nembo ya klabu nazo hazipo kwenye makubaliano rasmi ya klabu, lakini kwa kuwa washua wanatoa mpunga mzuri, unaambiwa viongozi wote kimyaaa, wanajua kuwa wakifanya fyoko, tajiri atakaa pembeni kisha njaa itaanza kuwatesa.