Upigaji wa GSM unafanyika kimyakimya Yanga, Wabongo wameamua kuziba masikio

Upigaji wa GSM unafanyika kimyakimya Yanga, Wabongo wameamua kuziba masikio

Sasa inauma nini wakati inayopigwa sio Simba, sisi tumeridhika na huko kupigwa, una jingine? Ikiuma toa wewe
Mapompompo hayo yameporwa hata uhuru wa kufanya mapenzi,yanambiwa ni make ya pili yapo tu.Ukiyauliza mmeliwa yanajibu ndiyo,mmekula yanajibu ndiyo.
 
Mwamedi amejaza matangazo mengi kwenye jezi zetu na anapiga pesa nyingi kupitia brand yetu ila wakati huo huo anasema kuiendesha simba ni hasara.
Jamaa anatuona sisi mapunguani eti?

Bora GSM hana mambo mengi.
hayo matangazo mudi aweke hata kwenye chupi zetu tutanunua na kuvaa ilimradi furaha inatamalaki msimbazi

73DAD65D-F974-4AF2-966C-72197B9E9D96.jpeg
 
hayo matangazo mudi aweke hata kwenye chupi zetu tutanunua na kuvaa ilimradi furaha inatamalaki msimbazi

View attachment 2119635
Hii dhambi Ya..... 'Kubebwa' wewe Hersi Utaitubu Lini? ....Maana Hao Waliokubeba Wala hawajielewi.
Ni Kama mtoto mdogo chini ya 3 yrs Au Kapuku ambaye Kakosa hata Mlo mmoja Kwa Siku 2 Ukimwambia Lolote anafanya.....! Hii ni dhambi Kabisa.
 
gsm ajakwenda Utopolo ili timu ishinde mataji kaenda pale ili kupiga hela za jezi tu.
wajinga ndo waliwao usimuamshe aliyelala.
Na alitaka kuji overstep kupitia udhamini wa magumashi ili Simba aweze kumtangaza zaidi kwakua anajua inafuatiliwa na ndio icon kwa ukanda huu Africa mashariki na kati na ili mchizi apate double profit
 
Kuna michongo inaendelea kimyakimya, ni kama vile Wabongo hawajui kinachoendelea lakini kiuhalisia wachache nao wanaojua wameona bora wakae kimya.

Inakera lakini tutafanyaje, ndiyo tumeaachia Wabongo wapige kimyakimya.

Huu mchongo wa kuuza jezi na bidhaa nyingine zenye nembo ya klabu zinaendelea kuiingizia mzigo wa maana GSM lakini hakuna anayefungua mdomo kubwatuka

Kuna kigogo mmoja mzito wa Yanga, juzi kati alikuwa akiwaelezea baadhi ya rafiki zake kuhusu upigwaji huo unaendelea klabuni hapo.

Kwa sasa jina linaweka kapuni lakini jamaa anakwambia kuwa idadi rasmi ya mauzo ya jezi inayojulikana ndani ya GSM na ile inaojulikana klabuni ni vitu viwili tofauti.

Kibaya zaidi kumbe hata zile bidhaa mbalimbali wanazouza zikiwa na nembo ya klabu nazo hazipo kwenye makubaliano rasmi ya klabu, lakini kwa kuwa washua wanatoa mpunga mzuri, unaambiwa viongozi wote kimyaaa, wanajua kuwa wakifanya fyoko, tajiri atakaa pembeni kisha njaa itaanza kuwatesa.
We huna akili

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom