demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Habari wana jamvi.
Nimeona nifuate ushauri wa wajuzi na wazoefu kwenye tasnia hii ya masuala ya Afya na uzazi.
Niko na mahusiano na mwanamke kwa takribani mwaka hivi sasa, Imetokea hii January 25 ndipo alipo niambia kuwa ana ujauzito, kuwa alienda kupima.
Kwa sababu ambazo wengi wenu mnaweza kuzikisia, nimeamua nifanye uamuzi wa kufanya vipimo vya DNA kujua kama ni mzazi halali au la. Binafsi niko tayari kulea mtoto ila kulea yule tu aliyetokana na kiuno changu.
Kuna mtu amenishauri kuwa inawezekana kupima DNA (kati ya Baba na Mtoto aliye tumboni wa kipindi cha miezi 3).
Naomba ushauri wenu, kama je hili suala la kupima DNA mtoto wa miezi 3 akiwa tumboni ni kweli linawezekana? Na majibu yake huwa ya uhakika kama yale ya vipimo vya DNA mtoto anapokuwa amekwisha zaliwa na kukua?. Kama si hivyo mngenishauri vipi kulingana na uzoefu wenu kwenye masuala ya Afya?
Ila ningependa zaidi kujua mapema kama ni wangu wa lah?