ivunya
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 2,290
- 2,220
Maneno uliyotumia siyo mazuri, uko tayari kulea mtoto wa kiuno chako. Tambuwa kuna idadi kubwa sana ya watoto waliolelewa na baba tofauti. Hata uko kwenye DNA hakuna jibu tofauti utakalopata Zaid ya mtoto kuwa wako.
Subiria katoto kuzaliwa, kwani ulivyokuwa unafanya tendo pekupeku ulikuwa unategemea nini kutokea.
Ungetumia condom unadhani huyo mdada angekusingizia kuwa mimba ni yako.
Subiria katoto kuzaliwa, kwani ulivyokuwa unafanya tendo pekupeku ulikuwa unategemea nini kutokea.
Ungetumia condom unadhani huyo mdada angekusingizia kuwa mimba ni yako.