Upimaji wa DNA kwa mtoto akiwa bado hajazaliwa!

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Habari wana jamvi.

Nimeona nifuate ushauri wa wajuzi na wazoefu kwenye tasnia hii ya masuala ya Afya na uzazi.

Niko na mahusiano na mwanamke kwa takribani mwaka hivi sasa, Imetokea hii January 25 ndipo alipo niambia kuwa ana ujauzito, kuwa alienda kupima.

Kwa sababu ambazo wengi wenu mnaweza kuzikisia, nimeamua nifanye uamuzi wa kufanya vipimo vya DNA kujua kama ni mzazi halali au la. Binafsi niko tayari kulea mtoto ila kulea yule tu aliyetokana na kiuno changu.

Kuna mtu amenishauri kuwa inawezekana kupima DNA (kati ya Baba na Mtoto aliye tumboni wa kipindi cha miezi 3).

Naomba ushauri wenu, kama je hili suala la kupima DNA mtoto wa miezi 3 akiwa tumboni ni kweli linawezekana? Na majibu yake huwa ya uhakika kama yale ya vipimo vya DNA mtoto anapokuwa amekwisha zaliwa na kukua?. Kama si hivyo mngenishauri vipi kulingana na uzoefu wenu kwenye masuala ya Afya?

Ila ningependa zaidi kujua mapema kama ni wangu wa lah?
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    3.9 KB · Views: 83
Uwezekano upo ila kuna risk zinazoambatana na hizo procedure.

Una haraka sana? Huwezi kusubiri mtoto akazaliwa. ?

Ningekushauri usubiri tu kumweka mama na mtoto salama.

Kubalianeni matunzo yataanza utakapo pata uhakika mtoto ni wako.

Kila la Kheri.
 
Asante kwa ushauri wako.
 
Usiwe na haraka Boss mtoto si atazaliwa! Usiogope kama ulishakuwa na mahusiano naye maana yake uwezekano Wa kuwa mtoto wako ni Mkubwa.
 
Uwezekano upo ila kuna risk zinazoambatana na hizo procedure.

Una haraka sana? Huwezi kusubiri mtoto akazaliwa. ?

Ningekushauri usubiri tu kumweka mama na mtoto salama.

Kubalianeni matunzo yataanza utakapo pata uhakika mtoto ni wako.

Kila la Kheri.
sawa kabisa moja ya risk ni mimba kutoka wakati wa uchukuaji wa sampuli.

NB: lea mimba mkuu kwa roho safiii tushapigiwa sana na maisha yanaenda
 
shukrani.
 
Mkuu hujatuambia kinachokupa wasiwasi mpaka utake kupima DNA wakati umekuwa na shemeji for a year now!!!! Ok ushauri mzuri umepatiwa hapo juu.. Kuwa na subira mpaka mtoto azaliwe.. Tena toa matunzo kama kawaida na usiwe na tofauti na mwenzako mana utaumia sana kama hutatunza mimba halafu ujepima ni damu yako.
 
Dah ndugu yangu sisi wanaume ni jalala, we kama unampenda huyo dada just lea ujauzito na mtoto usitake kufukua mambo mengi. Yaan wengine tushatafuta wanawake wa kuzaa nao hatupati wewe unapewa mimba unataka kukwepa. Kwanza mtoto atazaliwa anakuchukia endapo utafanya hivyo
 
Ninayo na nimeitambua wasiwasi ila usitegemee kila mtu atamwaga mchele kwenye kuku walio tele.

Uhauri wako nimezingatia.
 
Dah ndugu yangu sisi wanaume ni jalala, we kama unampenda huyo dada just lea ujauzito na mtoto usitake kufukua mambo mengi. Yaan wengine tushatafuta wanawake wa kuzaa nao hatupati wewe unapewa mimba unataka kukwepa. Kwanza mtoto atazaliwa anakuchukia endapo utafanya hivyo

Mkuu username yako umechagua vyema kabisa! (utani tu).

Ni kweli, umenena vyema nathamini ulichokishauri.
 
Haya mambo bana, nakumbuka nishapewaga mimba bahati nzuri au mbaya mtoto akazaliwa miezi miwili before miezi tisa akiwa amekomaa na kilo za kutosha kabisa. Hii ina maana nililetewe papuchi while mtu ana ujauzito wa miezi miwili.

Kama una mashaka sio mbaya ukasubiri mtoto azaliwe kwanza.
 
duh!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Maisha ya mashaka humnyima mtu amani na furaha hata angekuwa na pesa kiasi gani. Kama unamashaka na mtoto ni vizuri zaidi ukazidisha mashaka mara dufu juu ya afya yako badala ya mtoto maana unaonekana humwamini huyo mwanamke lakini unajipigia peku.
 
Back
Top Bottom