Hi,Uliza chochote kuhusiana na harakati za upimaji wa ardhi kiwanja au shamba na namna ya kupata hatimiliki....
Mtaalamu nipo na Kama una ABC khs ardhi uje tubadilishane mawazo hapa...atupokubishana Bali kubadilishana mawazo
Ukihitaji huduma ya kupimiwa ardhi pia tunapiga kazi..maana tupo kukuhudumia
Naomba kufahamu taratibu za upimaji ardhi na kupata hatimilik, binafsi Nina eneo la ekari mbili kigambon mwasonga?Uliza chochote kuhusiana na harakati za upimaji wa ardhi kiwanja au shamba na namna ya kupata hatimiliki....
Mtaalamu nipo na Kama una ABC khs ardhi uje tubadilishane mawazo hapa...atupokubishana Bali kubadilishana mawazo
Ukihitaji huduma ya kupimiwa ardhi pia tunapiga kazi..maana tupo kukuhudumia
Inawezekana hatua ya kwanza n mtaalamu kufika site kuchukua majira ya nukta (x na y data) katika kila Kona ya kiwanja chako ili tujue Kama Kuna michoro ya mpango miji...Hi,
Nina pande langu Mkuranga nataka nipime viwanja eka tatu hivi, utaratibu ukoje mkuu?
Gharama kuu ya upimaji itakuja baada ya kufika site na kujua uhalisia wa kupande chako Cha ardhi kinaonesha aina gani ya matumizi umepangiwa ktk ardhi yakoGharama za kupima ni kiasi gani?
Hatua ya kwanza n muhimu mtaalamu afike site na kifaa kwa ajili ya kuchukua taarifa za awali ili tuweze kujua Kama eneo lako limepangwa (Ramani ya mpango miji) na Kama Ramani ya mpango miji Apo tunaingia Rasmi kwenye hatua ya upimaji ili tupate plot namba ya kiwanja au eneo lako........Naomba kufahamu taratibu za upimaji ardhi na kupata hatimilik, binafsi Nina eneo la ekari mbili kigambon mwasonga?
GHARAMA ZA KWENDA KUCHUKUA CORDINATES ANABEBA NANI?Inawezekana hatua ya kwanza n mtaalamu kufika site kuchukua majira ya nukta (x na y data) katika kila Kona ya kiwanja chako ili tujue Kama Kuna michoro ya mpango miji...
Gharama n za mteja(mmiliki) na atahusika kumpeleka(mpima) mpaka site maana mmiliki ndie anayefahamu mipaka ya ardhi yake....output yake Ni kufuatilia Mchoro wa mipango miji na kurejesha mrejesho kwa mteja...GHARAMA ZA KWENDA KUCHUKUA CORDINATES ANABEBA NANI?
Taratibu za kiserikali zipoje?Hatua ya kwanza n muhimu mtaalamu afike site na kifaa kwa ajili ya kuchukua taarifa za awali ili tuweze kujua Kama eneo lako limepangwa (Ramani ya mpango miji) na Kama Ramani ya mpango miji Apo tunaingia Rasmi kwenye hatua ya upimaji ili tupate plot namba ya kiwanja au eneo lako........Na hivyo ili upate hati n lazima uwe na Mchoro wa mpango miji + Ramani ya upimaji(plot namba) hivi vitu viwili ndivyo vinaweza kukupelekea ww kupata hatimiliki....khs hati ni wajibu wangu kukupatia usaidizi wa kipi na kipi kinahitajika kuambatishwa ili file la hati likamilike....
Taratibu za upimaji na umilikishwaji zinafuata miongozo ya kiserikali na sio kwamba mtu anajitungia tuu.... ambapo mlolongo wa kuanzia barua unaanzia au unapita kwa Serikali ya mtaa,Kata,halmashauri/wilaya mpaka kupata aprove ngazi ya Kanda....na mpima anaweza kufanya kazi kupitia registered company ambayo imepewa kibali Cha kufanya shughuli za upimaji na wizara husika.....kwaio taratibu n zile zile tuu za ufanywaji kaziTaratibu za kiserikali zipoje?
Sawa mkuu nadhani hilo ni la muhimu kulielezea.Taratibu za upimaji na umilikishwaji zinafuata miongozo ya kiserikali na sio kwamba mtu anajitungia tuu.... ambapo mlolongo wa kuanzia barua unaanzia au unapita kwa Serikali ya mtaa,Kata,halmashauri/wilaya mpaka kupata aprove ngazi ya Kanda....na mpima anaweza kufanya kazi kupitia registered company ambayo imepewa kibali Cha kufanya shughuli za upimaji na wizara husika.....kwaio taratibu n zile zile tuu za ufanywaji kazi
Yes kila ardhi inapimwa kulingana na majibu yatakayopatikana kutokana na site visit.....Kuna upimwaji wa mashamba na upimaji wa viwanja naielezea vyema hapa chini.Je unaweza kupima eneo na kupata hati ya eneo kama kijiji,mtaa na maeneo niliyopo hayajawahi kuwekwa kwenye ramani ya mipango miji....(porini)..?
Hapana uko kwa Serikali ya mtaa Nimejaribu kuzielezea kwa maana mtaalamu na mmiliki mkiafikiana kupima eneo Kuna document zinasainiwa kupitia ngazi ya Serikali ya mtaa na kata kwa maana wao ndio wanakutambua wew Kama mmiliki na mtaalamu yeye wajibu wake na kusubmit nyaraka zako zilizopita kwa ngazi ya mtaa kwa halmashauri husika ili kupata kibali Cha kazi naomba unielewe vyema Apo kiongozi.Sawa mkuu nadhani hilo ni la muhimu kulielezea.
Kwamba unaenda serikali ya mtaa/kijiji, kata, halfu halmashauri ya mji/manispaa/wilaya.
Baada ya hapo ndiyo unaanza kutafuta mpimaji.
Pia utueleze fomu za kujaza na kama majirani nao watajaza fomu au sio lazima.
Hiyo gharama ni kiasi gani??Gharama n za mteja(mmiliki) na atahusika kumpeleka(mpima) mpaka site maana mmiliki ndie anayefahamu mipaka ya ardhi yake....output yake Ni kufuatilia Mchoro wa mipango miji na kurejesha mrejesho kwa mteja...
Kwa hiyo kabla ya kuchukua kazi utataka kuona survey instructions kutoka idara ya upimaji na ramani wilayani?Hapana uko kwa Serikali ya mtaa Nimejaribu kuzielezea kwa maana mtaalamu na mmiliki mkiafikiana kupima eneo Kuna document zinasainiwa kupitia ngazi ya Serikali ya mtaa na kata kwa maana wao ndio wanakutambua wew Kama mmiliki na mtaalamu yeye wajibu wake na kusubmit nyaraka zako zilizopita kwa ngazi ya mtaa kwa halmashauri husika ili kupata kibali Cha kazi naomba unielewe vyema Apo kiongozi.
Duuuu still ujanielewa mkuu rudia kupitia vizuri maelezoKwa hiyo kabla ya kuchukua kazi utataka kuona survey instructions kutoka idara ya upimaji na ramani wilayani?
Au siyo muhimu?