Upimaji wa kiwanja/viwanja na kupata umiliki

Upimaji wa kiwanja/viwanja na kupata umiliki

bababite

Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
37
Reaction score
42
Uliza chochote kuhusiana na harakati za upimaji wa ardhi kiwanja au shamba na namna ya kupata hatimiliki....

Mtaalamu nipo na Kama una ABC khs ardhi uje tubadilishane mawazo hapa...atupokubishana Bali kubadilishana mawazo

Ukihitaji huduma ya kupimiwa ardhi pia tunapiga kazi..maana tupo kukuhudumia
 
Hi,
Nina pande langu Mkuranga nataka nipime viwanja eka tatu hivi, utaratibu ukoje mkuu?
 
Naomba kufahamu taratibu za upimaji ardhi na kupata hatimilik, binafsi Nina eneo la ekari mbili kigambon mwasonga?
 
Hi,
Nina pande langu Mkuranga nataka nipime viwanja eka tatu hivi, utaratibu ukoje mkuu?
Inawezekana hatua ya kwanza n mtaalamu kufika site kuchukua majira ya nukta (x na y data) katika kila Kona ya kiwanja chako ili tujue Kama Kuna michoro ya mpango miji...
 
Naomba kufahamu taratibu za upimaji ardhi na kupata hatimilik, binafsi Nina eneo la ekari mbili kigambon mwasonga?
Hatua ya kwanza n muhimu mtaalamu afike site na kifaa kwa ajili ya kuchukua taarifa za awali ili tuweze kujua Kama eneo lako limepangwa (Ramani ya mpango miji) na Kama Ramani ya mpango miji Apo tunaingia Rasmi kwenye hatua ya upimaji ili tupate plot namba ya kiwanja au eneo lako........

Na hivyo ili upate hati n lazima uwe na Mchoro wa mpango miji + Ramani ya upimaji(plot namba) hivi vitu viwili ndivyo vinaweza kukupelekea ww kupata hatimiliki....khs hati ni wajibu wangu kukupatia usaidizi wa kipi na kipi kinahitajika kuambatishwa ili file la hati likamilike....
 
GHARAMA ZA KWENDA KUCHUKUA CORDINATES ANABEBA NANI?
Gharama n za mteja(mmiliki) na atahusika kumpeleka(mpima) mpaka site maana mmiliki ndie anayefahamu mipaka ya ardhi yake....output yake Ni kufuatilia Mchoro wa mipango miji na kurejesha mrejesho kwa mteja...
 
Hatua ya kwanza n muhimu mtaalamu afike site na kifaa kwa ajili ya kuchukua taarifa za awali ili tuweze kujua Kama eneo lako limepangwa (Ramani ya mpango miji) na Kama Ramani ya mpango miji Apo tunaingia Rasmi kwenye hatua ya upimaji ili tupate plot namba ya kiwanja au eneo lako........Na hivyo ili upate hati n lazima uwe na Mchoro wa mpango miji + Ramani ya upimaji(plot namba) hivi vitu viwili ndivyo vinaweza kukupelekea ww kupata hatimiliki....khs hati ni wajibu wangu kukupatia usaidizi wa kipi na kipi kinahitajika kuambatishwa ili file la hati likamilike....
Taratibu za kiserikali zipoje?
 
Je unaweza kupima eneo na kupata hati ya eneo kama kijiji,mtaa na maeneo niliyopo hayajawahi kuwekwa kwenye ramani ya mipango miji....(porini)..?
 
Taratibu za kiserikali zipoje?
Taratibu za upimaji na umilikishwaji zinafuata miongozo ya kiserikali na sio kwamba mtu anajitungia tuu.... ambapo mlolongo wa kuanzia barua unaanzia au unapita kwa Serikali ya mtaa,Kata,halmashauri/wilaya mpaka kupata aprove ngazi ya Kanda....na mpima anaweza kufanya kazi kupitia registered company ambayo imepewa kibali Cha kufanya shughuli za upimaji na wizara husika.....kwaio taratibu n zile zile tuu za ufanywaji kazi
 
Sawa mkuu nadhani hilo ni la muhimu kulielezea.
Kwamba unaenda serikali ya mtaa/kijiji, kata, halfu halmashauri ya mji/manispaa/wilaya.
Baada ya hapo ndiyo unaanza kutafuta mpimaji.
Pia utueleze fomu za kujaza na kama majirani nao watajaza fomu au sio lazima.
 
Je unaweza kupima eneo na kupata hati ya eneo kama kijiji,mtaa na maeneo niliyopo hayajawahi kuwekwa kwenye ramani ya mipango miji....(porini)..?
Yes kila ardhi inapimwa kulingana na majibu yatakayopatikana kutokana na site visit.....Kuna upimwaji wa mashamba na upimaji wa viwanja naielezea vyema hapa chini.

Upimaji wa mashamba....hii inamaana endapo eneo likiwa Alina sifa ya kupimwa Kama viwanja na kibali chake n papimwe Kama shamba au mashamba...(unproposed township) mfano sehemu ya wilaya ya kisarawe pwani sehemu kubwa upimwa Kama mashamba kwasababu bado apajawa propesed Kama mji (hakuna michoro ya mipango miji na apajapitishwa na mamlaka Kama n mji ivyo upimwa Kama mashamba na vijiji vingi vinaingia apa)

Upimaji wa viwanja..hii utokea pale eneo likiwa linasifa ya kupimwa Kama viwanja na matumizi mengine endapo eneo likiwa proposed township likiwa na sifa ya kuandaliwa michoro ya mipango miji (mfano residential,urban farming,housing estate, na matumizi mengine) na sehemu kubwa ya dar es salaam iko proposed Kama township(mji) ivyo papanapimwa Kama plots.

Nimejaribu kuelezea kidogo ili uelewe coz am not that perfect kwenye kuelezea kwa kumuelewesha mtu
 
Sawa mkuu nadhani hilo ni la muhimu kulielezea.
Kwamba unaenda serikali ya mtaa/kijiji, kata, halfu halmashauri ya mji/manispaa/wilaya.
Baada ya hapo ndiyo unaanza kutafuta mpimaji.
Pia utueleze fomu za kujaza na kama majirani nao watajaza fomu au sio lazima.
Hapana uko kwa Serikali ya mtaa Nimejaribu kuzielezea kwa maana mtaalamu na mmiliki mkiafikiana kupima eneo Kuna document zinasainiwa kupitia ngazi ya Serikali ya mtaa na kata kwa maana wao ndio wanakutambua wew Kama mmiliki na mtaalamu yeye wajibu wake na kusubmit nyaraka zako zilizopita kwa ngazi ya mtaa kwa halmashauri husika ili kupata kibali Cha kazi naomba unielewe vyema Apo kiongozi.
 
Kwa hiyo kabla ya kuchukua kazi utataka kuona survey instructions kutoka idara ya upimaji na ramani wilayani?
Au siyo muhimu?
 
Nimesema inatakiwa mtaalamu akakague eneo lako ili kujua Kama eneo lako Lina Mchoro wa mpango miji au hapana....na Kama upo na unaendana na eneo lako ndipo Apo mchakato wa kupata iyo instruction to survey unaanza kijana...
 
Back
Top Bottom