Upinzani anzeni kuibua hoja na sera mbadala za kulikomboa taifa, acha kudandia na kuongelea upuuzi wa wana CCM

Unawapangia watu Cha kuongea wewe nani anakupangia
 
Taifa hili lina watu wa ovyo ukiwemo wewe. Unafanya kosa lilelile ambalo hautaki hao Chadema walifanye!!!

Bahati mbaya hamjui maana ya sera ni nini. Hamtofautishi sera na ilani ya uchaguzi. Mtu akikosoa jambo fulani kama vile, rushwa, mfumo mbaya wa elimu, uingiaji wa mikataba mibovu nk, ndiyo kutangaza sera za chama. Au unataka wasimame watoa mpango kazi ndiyo ujuwe wanatangaza sera? Kwa mfano chama kimejitokeza kupinga tozo au hali ngumu ya maisha kwa mwananchi, wewe unasema hajatangaza sera, sera zipi unataka kuzisikia?

Kukosoana kwa vyama ndiyo maana ya siasa za upinzani. Au unataka hao Chadema wasimame jukwaani kuisifia CCM. Lini ulishawahi sikia CCM wakisimama jukwaa kuisifia Chadema?
 
Subiri ccm ikupiganie
 
waambie waachane na mihemko na kulalamika mno 🐒
 
Ukian
Anzisha wewe hoja hizo itatosha. Halafu ujue wewe si kipimo cha kupimia upinzani juu ya kipi ni hoja au la. Wewe kula, shiba kisha ulale. Waache wapinzani na mambo yao. La sivyo anzisha upinzani unaoutaka wewe.
 
Pole kwa huo mtazamo wako maana hunijui. Naamini ungeujua mchango wangu kwa taifa katika kuleta mabadiliko ya kweli usingeandika hayo. Ila nitakuheshimu sana tu hata ungenitukana, na kamwe sitakuita wa ovyo!
 
Ukian

Anzisha wewe hoja hizo itatosha. Halafu ujue wewe si kipimo cha kupimia upinzani juu ya kipi ni hoja au la. Wewe kula, shiba kisha ulale. Waache wapinzani na mambo yao. La sivyo anzisha upinzani unaoutaka wewe.
Tayari ninao, japo napenda tuite ushindani.
 
Siasa zote ni matukio, hakuna siasa bila matukio.
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…