Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ni muda wako sasa utuoneshe uimara wako.CHADEMA ya sasa ni kama 'upinde' tu. ..
Ni Lema yule tunae mjua . Kalainikaa .kalegea ka shoga.
Pumbavuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muda wako sasa utuoneshe uimara wako.CHADEMA ya sasa ni kama 'upinde' tu. ..
Ni Lema yule tunae mjua . Kalainikaa .kalegea ka shoga.
Pumbavuu
Unawapangia watu Cha kuongea wewe nani anakupangiaHivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM?
Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM?
Kwani kuna jipya lipi alilolisema Paul Makonda kuhusu kuzodoana kwa wana CCM?
Hatukumbuki Kikwete alivyosema wana CCM hawaachiani maji ya kunywa?
Hatukumbuki sumu aliyowekewa Mwakyembe na wana CCM wenzake?
Hatukumbuki jinsi Phillip Mangula alivyoponea chupuchupu kufa kwa kuwekewa sumu alipokuwa kwenye kikao cha CCM?
Hatukumbuki matusi ya Kinana, Nape na Makamba kwa Hayati Magufuli?
Hatukumbuki Rais Samia alivyosema watakaomsumbua ni walioko ndani ya CCM na si upinzani? Kipya kipi?
Inasikitisha mno kwa upinzani kuishiwa kabisa hoja na sera za kutukomboa wananchi.
Hongera sana,Nimekupata sana! Bado nasikika DW, hususan kipindi cha maoni meza ya duara. Abdulrahman alishastaafu, ila anasikika mara mojamoja.
Taifa hili lina watu wa ovyo ukiwemo wewe. Unafanya kosa lilelile ambalo hautaki hao Chadema walifanye!!!Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM?
Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM?
Kwani kuna jipya lipi alilolisema Paul Makonda kuhusu kuzodoana kwa wana CCM?
Hatukumbuki Kikwete alivyosema wana CCM hawaachiani maji ya kunywa?
Hatukumbuki sumu aliyowekewa Mwakyembe na wana CCM wenzake?
Hatukumbuki jinsi Phillip Mangula alivyoponea chupuchupu kufa kwa kuwekewa sumu alipokuwa kwenye kikao cha CCM?
Hatukumbuki matusi ya Kinana, Nape na Makamba kwa Hayati Magufuli?
Hatukumbuki Rais Samia alivyosema watakaomsumbua ni walioko ndani ya CCM na si upinzani? Kipya kipi?
Inasikitisha mno kwa upinzani kuishiwa kabisa hoja na sera za kutukomboa wananchi.
Subiri ccm ikupiganieSidhani kama watakusikia. Maana wapinzani wetu kwa miaka nenda sasa wanaendesha siasa za matukio na pia wengi wao ni wachumia tumbo. Yaani kwao siasa ni ajira!
Na pia hawajikiti katika kutengeneza sera mbadala na zenye mashiko, za kuikomboa nchi kutoka kwa watawala wa CCM.
waambie waachane na mihemko na kulalamika mno 🐒Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM?
Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM?
Kwani kuna jipya lipi alilolisema Paul Makonda kuhusu kuzodoana kwa wana CCM?
Hatukumbuki Kikwete alivyosema wana CCM hawaachiani maji ya kunywa?
Hatukumbuki sumu aliyowekewa Mwakyembe na wana CCM wenzake?
Hatukumbuki jinsi Phillip Mangula alivyoponea chupuchupu kufa kwa kuwekewa sumu alipokuwa kwenye kikao cha CCM?
Hatukumbuki matusi ya Kinana, Nape na Makamba kwa Hayati Magufuli?
Hatukumbuki Rais Samia alivyosema watakaomsumbua ni walioko ndani ya CCM na si upinzani? Kipya kipi?
Inasikitisha mno kwa upinzani kuishiwa kabisa hoja na sera za kutukomboa wananchi.
Anzisha wewe hoja hizo itatosha. Halafu ujue wewe si kipimo cha kupimia upinzani juu ya kipi ni hoja au la. Wewe kula, shiba kisha ulale. Waache wapinzani na mambo yao. La sivyo anzisha upinzani unaoutaka wewe.Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM?
Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM? Taifa letu litapataje maendeleo kwa kujadili matusi wanayotukanana wana CCM?
Kwani kuna jipya lipi alilolisema Paul Makonda kuhusu kuzodoana kwa wana CCM?
Hatukumbuki Kikwete alivyosema wana CCM hawaachiani maji ya kunywa?
Hatukumbuki sumu aliyowekewa Mwakyembe na wana CCM wenzake?
Hatukumbuki jinsi Phillip Mangula alivyoponea chupuchupu kufa kwa kuwekewa sumu alipokuwa kwenye kikao cha CCM?
Hatukumbuki matusi ya Kinana, Nape na Makamba kwa Hayati Magufuli?
Hatukumbuki Rais Samia alivyosema watakaomsumbua ni walioko ndani ya CCM na si upinzani? Kipya kipi?
Inasikitisha mno kwa upinzani kuishiwa kabisa hoja na sera za kutukomboa wananchi.
Pole kwa huo mtazamo wako maana hunijui. Naamini ungeujua mchango wangu kwa taifa katika kuleta mabadiliko ya kweli usingeandika hayo. Ila nitakuheshimu sana tu hata ungenitukana, na kamwe sitakuita wa ovyo!Taifa hili lina watu wa ovyo ukiwemo wewe. Unafanya kosa lilelile ambalo hautaki hao Chadema walifanye!!!
Bahati mbaya hamjui maana ya sera ni nini. Hamtofautishi sera na ilani ya uchaguzi. Mtu akikosoa jambo fulani kama vile, rushwa, mfumo mbaya wa elimu, uingiaji wa mikataba mibovu nk, ndiyo kutangaza sera za chama. Au unataka wasimame watoa mpango kazi ndiyo ujuwe wanatangaza sera? Kwa mfano chama kimejitokeza kupinga tozo au hali ngumu ya maisha kwa mwananchi, wewe unasema hajatangaza sera, sera zipi unataka kuzisikia?
Kukosoana kwa vyama ndiyo maana ya siasa za upinzani. Au unataka hao Chadema wasimame jukwaani kuisifia CCM. Lini ulishawahi sikia CCM wakisimama jukwaa kuisifia Chadema?
Tayari ninao, japo napenda tuite ushindani.Ukian
Anzisha wewe hoja hizo itatosha. Halafu ujue wewe si kipimo cha kupimia upinzani juu ya kipi ni hoja au la. Wewe kula, shiba kisha ulale. Waache wapinzani na mambo yao. La sivyo anzisha upinzani unaoutaka wewe.
Siasa zote ni matukio, hakuna siasa bila matukio.Sidhani kama watakusikia. Maana wapinzani wetu kwa miaka nenda sasa wanaendesha siasa za matukio na pia wengi wao ni wachumia tumbo. Yaani kwao siasa ni ajira!
Na pia hawajikiti katika kutengeneza sera mbadala na zenye mashiko, za kuikomboa nchi kutoka kwa watawala wa CCM.
Jikite kwa ACTHivi dizaini ya mdude ,Lema na Mbowe unategemea wawe na uelewa kuhusu sera mmbadala?
SahihiTaifa hili lina watu wa ovyo ukiwemo wewe. Unafanya kosa lilelile ambalo hautaki hao Chadema walifanye!!!