Uchaguzi 2020 Upinzani bado wana mentality ya kujaza umati ndiyo kukubalika

Mwambie wananchi wanataka kujua amebeba nini kichwani juu ya tz,

Habari ya Magu kutuma watu wampige tukishasikia miaka 3 iliyopita. Sasa ni wakati wa kusikia ana nini juu ya tz,

Habari za Magu ni useless
Toka hapa jf nenda kamsikilize naamini utaokoka siku hiyo hiyo na kuachana na Utupolo ccm
 
Yaani usikubalike kisha watu wajae kwenye hafla zako? Matarajio ya ccm hasa Magufuli, cdm wangekuwa wakipita kwa watu hii 2020 iwe na watu 10. Lakini kinachoonekana kwa ccm ni kitu kinachoumiza sana. Hizi post zote ni za wivu wa kile kinachoendelea kwenye mizunguko ya Lisu.

Ndio maana tunahitaji tume huru ya uchaguzi ili mjue kuwa ccm sio chama cha kizazi hiki. Mtaishia kutumia nguvu na kuwaumiza wapinzani bila kujua kuwa kupendwa huwa ni kitu automatically. Sasa subiri hivyo vyama vingine kama vitakuwa na watu wengi hivyo, ukiacha ccm ambayo inashurutisha kupendwa, na hutolewa amri kuwa lazima watu wahudhurie mikusanyiko ya ccm.

Ukumbuke hao cdm hawajajenga fly overs, bwawa la umeme, reli, na wala hawajafanya mikutano ya kisiasa. Chini ya hizi siasa za kikatili chama kinachopigwa vita vya wazi wazi na rais, kupata watu wa hivyo utaacha kupigwa na butwaa?
 
Na hao ndo wapiga kura ujue..lkn ccm huwatisha watu wajae barabarani kumshangilia meko ndo kinachowauma ccm..lissu ni yeye tu 2020 .. Utupolo ccm mupoooo?
 
Utaumia sana ukishuhudia Lisu akipata asilimia 20
Hahaha kweli Lumumba mmechanganyikiwa. Mlianza kusema atagawana asilimia 5 na Membe, mkaja kusema atapata 5, mkaja 10 saivi zimepanda hadi 20.
Sasa mimi nakwambia kweli na hakika magufuli ndo atapata asilimia 20 kwenye uchaguz wa mwaka huu
 
Mwishowe watasema kashinda kwa nguvu ya mabeberu [emoji23][emoji23]
 
Una maana CHADEMA/UPINZANI walishindwa kihalali!

Hana cha kuongelea zaidi ya Magufuli. Labda amesahau kuwa wapiga kura wanataka kusikia mipango yake ya maendeleo.

Nasikia tayari kajitayarishia makao yake Ubelgiji akishindwa. Unajuwa tena watoto wake hakubali wasome shule hivyo za serkali.

Wake wanasoma shule za bei mbaya, na sasa anawatayarisha kwenda kwa Mfalme Bedouin aliyeitia Kongo umaskini wa milele.
 
Hahaha kweli Lumumba mmechanganyikiwa. Mlianza kusema atagawana asilimia 5 na Membe, mkaja kusema atapata 5, mkaja 10 saivi zimepanda hadi 20.
Sasa mimi nakwambia kweli na hakika magufuli ndo atapata asilimia 20 kwenye uchaguz wa mwaka huu
Msimamo wangu ni uleule toka mwanzo!
Kutokana na Lisu kuwa na ushawishi mdogo tena ndani ya chadeka pekee, basi atapata asilimia 20 tu
 
Ni shetani wa Lisu siyo watz!

Ndio maana anaomba kura kuongoza watz siyo Magufuli,
Hata kanisani unamkemea shetani na sio waumini..hvyo anawataka watanzania waachane na shetani huyo jiwe
 
Msimamo wangu ni uleule toka mwanzo!
Kutokana na Lisu kuwa na ushawishi mdogo tena ndani ya chadeka pekee, basi atapata asilimia 20 tu
Amini maneno yangu ndugu. Hizo ndo Magufuli. Tukutane Oktoba
 
Acha wenge wewe na bado subiri mafuriko zaidi ya ENL 2015! Mbona Mikutano ya Hashim Rungwe(Mzee wa Kugawa Ubwabwa) haina mafuriko? Relax Tuliza Wenge dawa iwaingie.
Mbona wao huwa hadi wanatumia malori /daladala kusombea watu!!? Bora huku kwingine wanajileta wenyewe kwa mapenzi yao
 
Unafikiri hatufahamu vijana wa CCM wengi Kwa sasa wameajiliwa kwenye hizo page kumchafua lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…