kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Anawaambia watanzania kuwa wanaongozwa na mtu katili na muuaji, ndo maana anakandamiza demokrasia na uhuru wa kujieleza..Kama umefanya mema why uwe muoga?! Yule ni shetani hapaswi kuliongoza hili taifaHana cha kuongelea zaidi ya Magufuli. Labda amesahau kuwa wapiga kura wanataka kusikia mipango yake ya maendeleo. Nasikia tayari kajitayarishia makao yake Ubelgiji akishindwa. Unajuwa tena watoto wake hakubali wasome shule hivyo za serkali. Wake wanasoma shule za bei mbaya, na sasa anawatayarisha kwenda kwa Mfalme Bedouin aliyeitia Kongo umaskini wa milele.