Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hahahha... Kipimo cha ushindi wa Lisu hakipatikani jf!Page za BBC ambazo Gwajima na polepole wameelekeza watu wakajitoe ufahamu kumtetea magufuli????
Mnafikiri CCM hamjajulikana mbinu zenu mwaka huu???
Mnafikiri hatujui huko pages za VOA na BBC wamejaa wapwa tuinuane???
Hakuna Rangi CCM mtaacha ona mwaka huu. Jiandaeni tu kuwa Chama pinzani baada ya October 2020!