Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Mkuu hata Slaa alikuwa anakusanya watu kama hao! Au wewe umeanz siasa jana?Endelea kutokuamini hvyo hvyo ..hata kurudi kwake hamkuamini View attachment 1534611
Hao watu hata Msigwa akienda pale Iringa anakusanya kama hao! Sugu na Lema ndio usiseme!
Sasa hebu niambie hao watu ni % ngapi ya wapiga kura katika mji mzima aliokuwa?
Hicho ni chama cha siasa, hutegemei kikose watu kwenye mikutano yake, lakini je kina sera na mtaji wa wapiga kura wa kutosha kuwezesha kupata ushindi?
Lisu sera hana, na sio kwamba chadema hakina sera, zipo ila mgombea wenu amemjaza Magufuli kichwani mwake ndio sababu kila akipata nafasi ya kuongea lazima amshambulie Magufuli!
Watu wanataka sera, waone Lisu kabeba kitu gani kichwani kwake tofauti na ccm?
Juzi katoa boko kule NTV ya kenya kuhusu corona huku yeye huko anakozunguka anakiuka masharti yote ya kujikinga na huu ugonjwa! Nadhani uliona reaction ya watu kuhusu lile boko alilotoa.