Lordrank
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 453
- 247
It's true mkuu me mwenyewe shahidi nimetembelea ukurasa wa BBC Instagram, raia hawamtaki Lissu hata kidogo.Mkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!
Ukitaka kujua hilo nenda kwenye coment za raia uone wanasemaje kuhusu Lisu, hasa kwenye page za BBC, VoA na DW.
Kiufupi Lisu hana mtaji wa watu nje ya chama chake.
Achana na haya mazombie yanayopiga kelele humu JF!