Upinzani dhidi ya Rais Samia unazidi kupata nguvu

Kawatoa mashehe wa uhamsho waliobambikwa kamweka Mbowe kwa kumbambika.Karudi kule kule.
Mkuu Kalonji,hapa hakuna ugaidi wala nduguze ugaidi suala linalomtesa mama ni Katiba mpya huo ndio mwiba mchungu sijui atawaambia nini wafadhiri wanaosisitiza demokrasia na haki za binadamu
 
Mkuu Kalonji,hapa hakuna ugaidi wala nduguze ugaidi suala linalomtesa mama ni Katiba mpya huo ndio mwiba mchungu sijui atawaambia nini wafadhiri wanaosisitiza demokrasia na haki za binadamu
Lipo wazi ishu ni katiba.
Halizuiliki Ili hata wakimfunga
 
Kama siyo lzm uwe msukuma basi genge hili litafutiwe jina jingine majina si yapo mengi tu.
Haliwezi kupatiwa jina lingine ! 90% ya hili genge ililetwa na yule dikteta uchwara aliyekua na hamaki muda wote

Allies waliojoin hili genge ni wachache nao tunawaunganisha humu !
 
Haliwezi kupatiwa jina lingine ! 90% ya hili genge ililetwa na yule dikteta uchwara aliyekua na hamaki muda wote

Allies waliojoin hili genge ni wachache nao tunawaunganisha humu !
Hawa waitwe Magufuli gang,ukiendelea kutumia Sukuma gang utapata response from any msukuma with their perspective accordingly.
 
Tulimuonya akazubaa. Hafiki 2025 akivuka hamalizie mwaka.
 
Hawa waitwe Magufuli gang,ukiendelea kutumia Sukuma gang utapata response from any msukuma with their perspective accordingly.
Sukuma gang sio kabila la wasukuma. It is about all Viampires novertheles akiwa mchaga au mnyaturu
 
Biashara zinakufa sababu ya
Mshahara wa Dhambi huwa inajulikana kote Duniani
Umenikumbusha nijiulize nini maana ya umauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…