Mwinyi amezaliwa na kukulia ikulu hivyo anajua anachokifanya. Kaka Mandege amekua na ng'ombe na fimbo mkononi hivyo acha kushangaa mkuu. Ushamba v/s Weledi
Naamini Bujibuji hamaanishi au hapigii upatu kufa kwa upinzani bali alitaka kuonesha kama Rais wetu hamu yake ni kuona upinzani unakufa basi "aue" upinzani kwa kuwawajibikia wananchi hadi wananchi waone au angalau waamini "CCM inatosha" na sio kutumia mabavu na hila dhidi ya upinzani!!
Kwani Demokrasia ni pumzi. Acha ushambaWanadhani bunduki itaua demokrasia
Yote yaliyotokea tangu 2015 mpaka leo
Kuua, kuteka, kubambika kesi, kuvuruga uchaguzi, kuminya Uhuru wa kichumi,kuzuia siasa, kunyanganya watu hela
Ilikuwa hofu ya kupoteza madaraka
Tatizo la Mandege ni roho, ana roho mbaya aliyozaliwa nayo ukichanganya na ushamba aliousema Nnape inakuwa balaa.
Mmeanza kumrukia mwinyi sasa
Ndio maana ccm tunaamini tutatawala milele
Mfuasi wa chadema anatutafutia mgonbea mzuri kwa ajili ya 2025
Tundu lissu ameshaomba uraia wa ubelgiji,hiyo 2025 labda agombee umeya Genk
Unajipendekeza kuwachagulia wakushondanishwa na kenge wenu.Upinzani ni spirit ambayo kamwe haijawahi kuuawa kwa kuwateka wapinzani, kuwatesa, kuwafunga kwa makosa ya kubambikiza etc.
Njia rahisi ya kuua upinzani ni kupitia upendo na kuwaridhisha watu licha ya kwamba hakiwezekani kuwaridhisha watu wote kwa wakati, lakini hili linawezekana akipatikana rais mwenye akili kama Hussein Mwinyi.
Tayari Mwinyi ameshagundua kuwa kodi kubwa kwa wawekezaji ni mzigo, ambao in future, wote tutakuwa losers, muwekezaji atashindwa kufanya biashara, atafunga. Serikali itapate kodi mfanyabiashara akifunga biashara? Mwananchi atapataje bidhaa na huduma supply chain ikikatika?
Pia tunahitaji watu wenye mitaji waje kuwekeza nchini. Nani yuko tayari kuona diaspora wakileta mitaji yao bila kuulizwa umepataje pesa.
Nachelea kusema kwamba Mwinyi Yuko much visionary kuliko kaka Mandege.
Mwinyi alipita nyumba kwa nyumba akiongea na Wanzibari ana kwa ana wakimjulisha shida na dhiki zao.
Huyu mwingine alikuwa ananunua majogoo kwa laki moja, akipita kwenye msururu wa MAVIEIEITE YA KIJANI. Akimwaga tu sera zake kutoka kwenye kauntabuku la kurasa mia tatu na tatu bila kuwasikiliza wananchi wanataka nini.
Mwaka 2025 nadhani mtu sahihi wa kumshindanisha na Tundu Lissu ni Hussein Mwinyi tu.
"Ninyi" .kwanza ni declare interest kwamba si kila anae comment oposite na mawazo yako ni mpinzani.Ninyi si ndio mlisema kwamba Mwinyi amepelekwa huko Zanzibar kugombea kama kibaraka wa Tanganyika ? Leo amekuwa shujaa ? Wapinzani wenye mawazo kama haya eti uwape nchi. Mtaishia kutawala JF lakini siyo Taifa.
Mashabiki wa magundu MNAPATA TABU SANAHako ka Zanzibar unalinganisha na Tanganyika ? Pole sana. Ukiona unaota ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi.
Mtakufa nyie upinzani mtauachaKwisha habari. Upinzani utoke wapi nchi hii ?
mama rudisha ile avatar yako ya mwanzoHappy new year kamanda bujibuji
Ni kweli kabisa, Hussein Mwinyi ana akili kuliko huyu.Upinzani ni spirit ambayo kamwe haijawahi kuuawa kwa kuwateka wapinzani, kuwatesa, kuwafunga kwa makosa ya kubambikiza etc.
Njia rahisi ya kuua upinzani ni kupitia upendo na kuwaridhisha watu licha ya kwamba hakiwezekani kuwaridhisha watu wote kwa wakati, lakini hili linawezekana akipatikana rais mwenye akili kama Hussein Mwinyi.
Tayari Mwinyi ameshagundua kuwa kodi kubwa kwa wawekezaji ni mzigo, ambao in future, wote tutakuwa losers, muwekezaji atashindwa kufanya biashara, atafunga. Serikali itapate kodi mfanyabiashara akifunga biashara? Mwananchi atapataje bidhaa na huduma supply chain ikikatika?
Pia tunahitaji watu wenye mitaji waje kuwekeza nchini. Nani yuko tayari kuona diaspora wakileta mitaji yao bila kuulizwa umepataje pesa.
Nachelea kusema kwamba Mwinyi Yuko much visionary kuliko kaka Mandege.
Mwinyi alipita nyumba kwa nyumba akiongea na Wanzibari ana kwa ana wakimjulisha shida na dhiki zao.
Huyu mwingine alikuwa ananunua majogoo kwa laki moja, akipita kwenye msururu wa MAVIEIEITE YA KIJANI. Akimwaga tu sera zake kutoka kwenye kauntabuku la kurasa mia tatu na tatu bila kuwasikiliza wananchi wanataka nini.
Mwaka 2025 nadhani mtu sahihi wa kumshindanisha na Tundu Lissu ni Hussein Mwinyi tu.
Mashabiki wa magundu MNAPATA TABU SANA
Uko ikulu wewe?Tupate tabu wakati tuko Ikulu, we vipi ? Ninyi ndio mnasumbuliwa mzimu wa marehemu CHADEMA
Utasababisha Mkurugenzi JF ahamishiwe kifungo cha ndani.Hivi wakati wenzako wanasoma, hadi wanaongea Kingereza kilichonyooka, wapinzani walikuwa wamekuficha wapi?