Upinzani hauuliwi kwa mabavu, udikteta, vitisho na ukatili, ukitaka kuua upinzani mpe Hussein Mwinyi nchi aufute upinzani

Upinzani hauuliwi kwa mabavu, udikteta, vitisho na ukatili, ukitaka kuua upinzani mpe Hussein Mwinyi nchi aufute upinzani

Mtakufa kwa kihoro na hakuna badiliko lolote.
Mwinyi amezaliwa na kukulia ikulu hivyo anajua anachokifanya. Kaka Mandege amekua na ng'ombe na fimbo mkononi hivyo acha kushangaa mkuu. Ushamba v/s Weledi
 
Wananchi wameshathibitisha kwamba anatosha. Sijui unataka wananchi wepi ? Au waliopigwa chini kwa vyeti fake ?
Naamini Bujibuji hamaanishi au hapigii upatu kufa kwa upinzani bali alitaka kuonesha kama Rais wetu hamu yake ni kuona upinzani unakufa basi "aue" upinzani kwa kuwawajibikia wananchi hadi wananchi waone au angalau waamini "CCM inatosha" na sio kutumia mabavu na hila dhidi ya upinzani!!
 
Na bado mpaka mnyooke kabisa kile kiburi chote mpaka kiishe. Chezea jiwe weye.
Yote yaliyotokea tangu 2015 mpaka leo
Kuua, kuteka, kubambika kesi, kuvuruga uchaguzi, kuminya Uhuru wa kichumi,kuzuia siasa, kunyanganya watu hela

Ilikuwa hofu ya kupoteza madaraka
 
Hawana watu akili yote wanawaza majembe ya CCM
Mmeanza kumrukia mwinyi sasa
Ndio maana ccm tunaamini tutatawala milele
Mfuasi wa chadema anatutafutia mgonbea mzuri kwa ajili ya 2025
Tundu lissu ameshaomba uraia wa ubelgiji,hiyo 2025 labda agombee umeya Genk
 
Upinzani ni spirit ambayo kamwe haijawahi kuuawa kwa kuwateka wapinzani, kuwatesa, kuwafunga kwa makosa ya kubambikiza etc.

Njia rahisi ya kuua upinzani ni kupitia upendo na kuwaridhisha watu licha ya kwamba hakiwezekani kuwaridhisha watu wote kwa wakati, lakini hili linawezekana akipatikana rais mwenye akili kama Hussein Mwinyi.

Tayari Mwinyi ameshagundua kuwa kodi kubwa kwa wawekezaji ni mzigo, ambao in future, wote tutakuwa losers, muwekezaji atashindwa kufanya biashara, atafunga. Serikali itapate kodi mfanyabiashara akifunga biashara? Mwananchi atapataje bidhaa na huduma supply chain ikikatika?

Pia tunahitaji watu wenye mitaji waje kuwekeza nchini. Nani yuko tayari kuona diaspora wakileta mitaji yao bila kuulizwa umepataje pesa.

Nachelea kusema kwamba Mwinyi Yuko much visionary kuliko kaka Mandege.

Mwinyi alipita nyumba kwa nyumba akiongea na Wanzibari ana kwa ana wakimjulisha shida na dhiki zao.

Huyu mwingine alikuwa ananunua majogoo kwa laki moja, akipita kwenye msururu wa MAVIEIEITE YA KIJANI. Akimwaga tu sera zake kutoka kwenye kauntabuku la kurasa mia tatu na tatu bila kuwasikiliza wananchi wanataka nini.

Mwaka 2025 nadhani mtu sahihi wa kumshindanisha na Tundu Lissu ni Hussein Mwinyi tu.
Unajipendekeza kuwachagulia wakushondanishwa na kenge wenu.

Hatuhitaji upinzani tena Afrika hii mnaleta maigizo tu kama ni matatizo yetu mnayojigamba mtauatatua mkipata madaraka sasa tutayatatua kwa kuanzisha taasisi za kusaidiana na michango yetu ambayo tungrwachangia ndiyo itatumika kutunisha mifuko husika,basi tumewachoka!!
 
Ninyi si ndio mlisema kwamba Mwinyi amepelekwa huko Zanzibar kugombea kama kibaraka wa Tanganyika ? Leo amekuwa shujaa ? Wapinzani wenye mawazo kama haya eti uwape nchi. Mtaishia kutawala JF lakini siyo Taifa.
"Ninyi" .kwanza ni declare interest kwamba si kila anae comment oposite na mawazo yako ni mpinzani.
Wengine ni wananchi wa kawaida wasio na vyama.

So usinijumuishe ma upande wowote. Maana sifungamani na chama chochote.

Pili usinilishe maneno. Maana hakuna mahal niliwahi sema mwinyi ni kibaraka wa tanganyika
 
Bujibuji Unamwaga misifa sana, subiri walau miaka miwili mitatu tuone matokeo ya matukio ya Bwamdogo kaka Dr.
 
Upinzani ni spirit ambayo kamwe haijawahi kuuawa kwa kuwateka wapinzani, kuwatesa, kuwafunga kwa makosa ya kubambikiza etc.

Njia rahisi ya kuua upinzani ni kupitia upendo na kuwaridhisha watu licha ya kwamba hakiwezekani kuwaridhisha watu wote kwa wakati, lakini hili linawezekana akipatikana rais mwenye akili kama Hussein Mwinyi.

Tayari Mwinyi ameshagundua kuwa kodi kubwa kwa wawekezaji ni mzigo, ambao in future, wote tutakuwa losers, muwekezaji atashindwa kufanya biashara, atafunga. Serikali itapate kodi mfanyabiashara akifunga biashara? Mwananchi atapataje bidhaa na huduma supply chain ikikatika?

Pia tunahitaji watu wenye mitaji waje kuwekeza nchini. Nani yuko tayari kuona diaspora wakileta mitaji yao bila kuulizwa umepataje pesa.

Nachelea kusema kwamba Mwinyi Yuko much visionary kuliko kaka Mandege.

Mwinyi alipita nyumba kwa nyumba akiongea na Wanzibari ana kwa ana wakimjulisha shida na dhiki zao.

Huyu mwingine alikuwa ananunua majogoo kwa laki moja, akipita kwenye msururu wa MAVIEIEITE YA KIJANI. Akimwaga tu sera zake kutoka kwenye kauntabuku la kurasa mia tatu na tatu bila kuwasikiliza wananchi wanataka nini.

Mwaka 2025 nadhani mtu sahihi wa kumshindanisha na Tundu Lissu ni Hussein Mwinyi tu.
Ni kweli kabisa, Hussein Mwinyi ana akili kuliko huyu.
 
Mwinyi anaongoza Zanzibar ambayo ukivichanganya visiwa vyote viwili bado mkoa wa Morogoro ni mkubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom