Uongo mkubwa nikuonyeshe watumishi walivyo faidika
Mwaka huu baada ya kuongeza kima cha chini wafanyakazi wote wa umma na nafsi mishahara imeongezeka. Tena iliyo ongezeka ni ile take home siyo gross. Hii inafaida kubwa kuliko angeongeza mshahara ambao utakatwa kodi na pengine na take home yake ingeathirika.
Kuna watumishi wameongezewa hadi 50000 kama take home. Hii ina faida kubwa kuliko.
Watu wanatakiwa kuelimishwa tu. Na ongezeko hili Limewafanya watumishi wanashangaa Coz halijatangazwa so bidhaa bei ni ileile. MagufuliJP is genius anajitahidi kuongeza bila kuathiri maisha ya kila siku. Tofauti na zamani
Lakini watumishi wamepanda madaraja, madeni yamelipwa.
Kuna watumishi walikuwa hawajawahi panda madaraja tangu waajiriwe miaka Zaid ya 20 awamu hii wamepanda.
Maneno matupu, wameshindwa kulipia ukarabati wao he wataweza?Hili suala lako liko ktk ilani ya uchaguzi ya CDM, na imeelezwa kwamba litashughulikiwa kwa DHARURA ndani ya siku 100 tangu CDM waunde serikali.
Pia kuna pendekezo kuwa PAYE haitazidi asilimia 8.
Maneno matupu, wameshindwa kulipia ukarabati wao he wataweza?
Akimaliza. Future Impossible TenseAngalau CDM wanaahidi. Huenda watatekeleza, na huenda wakashindwa kutekeleza.
JPM yeye amesema anajenga SGR, na Stiegler's, mishahara itapanda akimaliza miradi hiyo.
JPM akisema anatenda.
Kweli mmejipanga kutetea, siri ya mtungi aijuae kata. Sasa hapo sijui unamdanganya nani? Wafanyakazi wanaijua siri kuhusu hicho kilicho ongezeka hiyo siyo nyongeza mh raisi ametimiza sehemu ya ahadi yake ya kupunguza kodi.Uongo mkubwa nikuonyeshe watumishi walivyo faidika.
Mwaka huu baada ya kuongeza kima cha chini wafanyakazi wote wa umma na nafsi mishahara imeongezeka. Tena iliyo ongezeka ni ile take home siyo gross. Hii inafaida kubwa kuliko angeongeza mshahara ambao utakatwa kodi na pengine na take home yake ingeathirika.
Kuna watumishi wameongezewa hadi 50000 kama take home. Hii ina faida kubwa kuliko.
Watu wanatakiwa kuelimishwa tu. Na ongezeko hili Limewafanya watumishi wanashangaa Coz halijatangazwa so bidhaa bei ni ileile. MagufuliJP is genius anajitahidi kuongeza bila kuathiri maisha ya kila siku. Tofauti na zamani
Lakini watumishi wamepanda madaraja, madeni yamelipwa.
Kuna watumishi walikuwa hawajawahi panda madaraja tangu waajiriwe miaka Zaid ya 20 awamu hii wamepanda.
Nyongeza ya 50,000? Anyway tunatofautiana.Uongo mkubwa nikuonyeshe watumishi walivyo faidika
Mwaka huu baada ya kuongeza kima cha chini wafanyakazi wote wa umma na nafsi mishahara imeongezeka. Tena iliyo ongezeka ni ile take home siyo gross. Hii inafaida kubwa kuliko angeongeza mshahara ambao utakatwa kodi na pengine na take home yake ingeathirika.
Kuna watumishi wameongezewa hadi 50000 kama take home. Hii ina faida kubwa kuliko.
Watu wanatakiwa kuelimishwa tu. Na ongezeko hili Limewafanya watumishi wanashangaa Coz halijatangazwa so bidhaa bei ni ileile. MagufuliJP is genius anajitahidi kuongeza bila kuathiri maisha ya kila siku. Tofauti na zamani
Lakini watumishi wamepanda madaraja, madeni yamelipwa.
Kuna watumishi walikuwa hawajawahi panda madaraja tangu waajiriwe miaka Zaid ya 20 awamu hii wamepanda.
TUCTA wako wapi?Moja ya makundi yaliyojeruhiwa kimaslahi kwa hii miaka 5 iliyopita ni kundi la wafanyakazi wa umma. Bila ongezeko la mshahara, ambalo lilikuwepo kisheria, kila mfanyakazi wa umma amejikuta akipoteza maslahi ya kutosha.
Kwa mfano binafsi, mwaka 2015 nilikuwa nina annual increment ya shilingi 120,000. Bila kujali kama ningepanda notch au madaraja, kila mwaka nimekuwa nikipoteza (nachelea kutumia maneno kama kupunjwa au kuibiwa) shilingi 120,000 x 12 ambazo ni sawa na shilingi 1,440,000 kwa mwaka na shilingi 7,200,000 kwa miaka mitano.
Na kwa vile hata kwenye budget ya sasa hakuna ongezeko, ina maana ninaweza poteza 14m kwa hii awamu. Na hili litakuwa na cascading effect mpaka kwenye mafao ya kiinua mgongo changu.
CHADEMA, kama mtakuja na ahadi ya kuwarejeshea watumishi wa umma kile walichopoteza, hebu fikirieni ni kura ngapi mtazivuna?
Unakunya kwa shemeji yako wewe ndo maana unaandika [emoji90]Uongo mkubwa nikuonyeshe watumishi walivyo faidika