Ni kweli hoja hii lakini pia wapinzani wanatakiwa wawe makini na watumishj, katika watumishi wapo ccm kindakindaki, na wapo pia ambao wananafasi na wana enjoy maisha haya. Pia wapo wajinga waliopitiliza ambao bado wanaamini ukiwa mtumishi wewe ni ccm, pia wapo waoga wanaoamini ukipogia chadema kura serikali itakujua na kukushuhulikia.
Hivyo kweli hizi ni kura zipo lakini zakwendea kwa umakini. Pia Chadema lazima wajue kuwa watumishi wengi ni waelewa, hivyo lazima wawaendee kwa hoja madhubuti na sio hoja za kimhemko.
Hata hivyo lazima chadema wajue, kundi pekee tulilo na uhakika kuwa wamejiandikisha kwa uhakika ni Watumishi.