Uchaguzi 2020 Upinzani kuna hizi hapa kura za bure msiziache

Ni kweli hoja hii lakini pia wapinzani wanatakiwa wawe makini na watumishj, katika watumishi wapo ccm kindakindaki, na wapo pia ambao wananafasi na wana enjoy maisha haya. Pia wapo wajinga waliopitiliza ambao bado wanaamini ukiwa mtumishi wewe ni ccm, pia wapo waoga wanaoamini ukipogia chadema kura serikali itakujua na kukushuhulikia.

Hivyo kweli hizi ni kura zipo lakini zakwendea kwa umakini. Pia Chadema lazima wajue kuwa watumishi wengi ni waelewa, hivyo lazima wawaendee kwa hoja madhubuti na sio hoja za kimhemko.

Hata hivyo lazima chadema wajue, kundi pekee tulilo na uhakika kuwa wamejiandikisha kwa uhakika ni Watumishi.
 
Mkuu, nionyeshe uongo wangu kwa figures. Hiyo 50,000 ni kweli nimeipata lakini haiondoi ukweli kuwa nimeibiwa 7M.
 
TUCTA wako wapi?
Mara ya mwisho kuwasikia ilikuwa Mei Mosi. Zaidi ya matamko ya Mei Mosi sijawahi wasikia kama wanaexist na kufanya wanachotakiwa kufanya
 
 
Hili suala lako liko ktk ilani ya uchaguzi ya CDM, na imeelezwa kwamba litashughulikiwa kwa DHARURA ndani ya siku 100 tangu CDM waunde serikali.

Pia kuna pendekezo kuwa PAYE haitazidi asilimia 8.
Kama ni hivyo watapata kura yangu na za my family. Uzalendo kamili unaanzia tumboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…