Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sumaye walimlamba viwanja na mashamba kadhaa akainua mikono juu akakiri Yesu ndiye Masihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kweli Upinzani ni Kazi ngumu Sio TZ bali Ulimwenguni Kote....! Mifano ipo. Nelson Mandela alikaa jela 27 years.
Lakini hapa Kwetu Tumeshindwa kuunda upinzani Wa Kweli.
Fikiria Uchaguzi 2015, Wapinzani wote Chini Ya Ukawa Wakamkabidhi kijiti Lowasa..Lowasa ambaye walitumia muda Wao wote Kumnanga kabla..!
Ukitafakari Utaona hawa Waliopo ni Wapigaji na Vikundi vilivyopo vimekaa Kimaslahi.
Kule inachapishwa form moja tu...na CCM walikorudi wanaweza kugombea Uenyekiti wa chama bila kupata misukosuko zaidi ya iliyowakuta walipokuwa upinzani?
Sio kweli, mbona majirani zetu kama Zambia, Kenya, Malawi etc upinzani unashinda kama kawaida tuuSiasa ndivyo zilivyo...
Acha kujidanganya, tatizo ni CCM wale wezi wa kura madkteta uchwaraTZ hakuna wapinzani, wote wamewekwa na TISS ili kutekeleza matakwa ya wenye dunia kwenye demokrasia, tuendelee kupata mikopo na misaada yao! Kibaraka namba moja wa CCM kwenye upinzani ni Mbowe, inashangaza jinsi gani wafuasi wake wanatoa mapovu humu, siku wakijua ukweli watashangaa! Wameoneshwa signs ila bado ni vipofu
Mbowe ni kibaraka wa CCM, utajua hilo ukishapata mamvi, endelea kumtolea mapovu humuAcha kujidanganya, ytatizo ni CCC wale wezi wa kura madkteta uchwara
Ina maana serikali ya CCM ni ya kijinga kiasi kuwa wewe mpuuzi ukagundua yenyewe ikashindwa kulibaini hilo?Mbona mbowe yeye aliweza kwa kumtumia Mallya tu???¿¿¿
Kuna swali limeulizwa Mallya yupo wapi! Naweka kambi kusubiri majibu.Ina maana serikali ya CCM ni ya kijinga kiasi kuwa wewe mpuuzi ukagundua yenyewe ikashindwa kulibaini hilo?
Kuficha upumbavu na kuonyesha hekima ni jambo jema. Fanya hivyo
Kweli tupuUkisha kuwa na fikra mbadala nchini mwetu basi utachukiwa sana na wakalia kiti cha enzi na vibaraka wao.
Utafanyiwa fitina, manyanyaso, dhihaka na ubaya wa kila aina ndiyo maana kila mtawala wa CCM akingia madalakani chakwanza huanza ku-dill na Wapinzani.
Ona sasa Hoja ya KATIBA MPYA iliyo ibuliwa na kutetewa na Wapinzani inavyo pigwa rungu, CCM hawataki kabisa habari hii maana wana amini itawatoa kwenye himaya.
Lakini umuhimu wa katiba mpya wanaujua vyema Ila wanapotosha watu ,na vibaraka wao wana fwatiliza na kupiga mbiu hiyo hiyo kwa masilahi yao binafsi ya watu wasio zidi hata Mia moja nchi yenye watu zaidi ya milioni sitini (60 million).
Sasa tuna ona na ACT nao wame wasaliti Wapinzani na wananchi wenzao na kukomaa na tume huru ya uchaguzi kwamba eti ndio kipao mbele ili hali katiba inayo weza kusimamia tume ya uchaguzi na taasisi zote nchini waki iweka nyuma.
Tuseme ACT lao moja na CCM Ila imejificha kwenye gamba Kama Kobe?
#Kamjabari
Huo ni woga na Ubinafsi, Nyerere alikuwa mchapa kazi mzuri Ila kwenye Engle Demokrasia na uchumi vilimsumbua sana Kama si kumshinda , CCM Imekuwa mwoga sana wa Upinzani wa kweli ,wapo tayari kutengeneza hata Upinzani fake ( vyama vyao) ili mladi tu ku gilibu umma.Wa kulaumiwa ni Nyerere. Yeye kabla ya nchi kupata uhuru alikataa upinzani. Alitaka asisumbuliwe akijenga ujamaa wake. Na mpaka leo CCM wanafata fikra za Nyerere kuwaona wapinzani kama maadui.
Nakupata mkuu, kuunda serikali ya mseto inaleta maana na tafsiri kwamba vyama vyote vipo kwaajiri ya kulisaidia taifa kizalendo ...dhana ya wapinzani na watawala ni dhana potofu.
..tunachotakiwa kufanya ni kuunda vyama vya siasa ambavyo vitafanya shughuli zake ktk mazingira ya haki na usawa.
..hapa Tz kuna chama kinachoamini kwamba kina haki ya kutawala daima milele, huku vyama vingine vikiwa wasindikizaji na wapinzani.
..kwenye nchi za wenzetu, wanaofanya siasa za haki, chama tawala, na upinzani, hubadilika mara kwa mara. Wakati mwingine vyama huungana kuunda serikali ya mseto
Tusiogope Wala kujikoroga , wananchi wanapaswa kupambania kile wanacho kiamini ,ni kma maji ya mafuriko ,siku moja ccm itapisha maji yapite!TZ hakuna wapinzani, wote wamewekwa na TISS ili kutekeleza matakwa ya wenye dunia kwenye demokrasia, tuendelee kupata mikopo na misaada yao! Kibaraka namba moja wa CCM kwenye upinzani ni Mbowe, inashangaza jinsi gani wafuasi wake wanatoa mapovu humu, siku wakijua ukweli watashangaa! Wameoneshwa signs ila bado ni vipofu
Dereva wa Chacha Wangwe alihukumiwa kifungo lakini haraka sana akapewa msamaha wa Rais !..Mbowe angekuwa amehusika na kifo cha Chacha Wangwe angekamatwa na Polisi wa CCM na hivi tunavyozungumza angekuwa ameshahukumiwa kifo na mahakama za CCM.
Ni kweli Mkuu, ila hawa wapinzani tulionao ni majanga matupu, ndiyo maana maana Magu aliamua kuwatosa, wanafikiTusiogope Wala kukikoroga , wananchi wanapaswa kupambania kile wanacho kiamini ,ni kma maji ya mafuriko ,siku moja ccm itapisha maji yapite!