Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Wananchi wapi makini wenye muda wa kuendekeza ujinga huu wa vurugu?
Labda bodaboda shauri ya kutaka petrol ya bure au wale wanywa shujaa na wenzao wasiojitambua.
Tanzania hakuna wapinzani,kuna wapiga ruzuku na wapiga kelele
Tanzania hakuna wapinzani,kuna wapiga ruzuku na wapiga kelele
Safari hii wakitii ujinga wowote tunawapa ukweli wao. Mfano wameuona juzi kwenye kujiandikisha, tuliona bila ushawishi wa chama chochote cha siasa. Hatuko tayari tena kushiriki uchaguzi wowote ambao kura zetu haziheshimiwi. Hao cdm tuliwaamini wakaishia kutuletea Lowassa, safari hii wakizingua wataipata fresh.
Siioni unpinzani hapa, wote waska tonge, watafute kazi nyingine ya kufanya. Wananchi wanawashangaa
Safari hii wakitii ujinga wowote tunawapa ukweli wao. Mfano wameuona juzi kwenye kujiandikisha, tuliacha bila ushawishi wa chama chochote cha siasa. Hatuko tayari tena kushiriki uchaguzi wowote ambao kura zetu haziheshimiwi. Hao cdm tuliwaamini wakaishia kutuletea Lowassa, safari hii wakizingua wataipata fresh.
Siioni unpinzani hapa, wote waska tonge, watafute kazi nyingine ya kufanya. Wananchi wanawashangaa
Lkn alishinda kosa lao lipi hapo
Kumsusia fisi bucha ni kumrahisishia kazi,fisi akomolekiHamna mtu anahitaji vurugu ndio maana tumeamua hatushiriki uchaguzi wa kishenzi, shirikini maibilisi wenyewe chini ya shetani mkuu, na mjitangaze washindi vizuri, ila hatutambui viongozi walioko madarakani kwa njia ya kunajisi box la kura.
Lkn alishinda kosa lao lipi hapo
Kosa lao ni kumleta mtu mnyonge asiyejua kujitetea na kutetea maslahi mapana ya wapiga kura!
Kwenye hizi harakati mgombea anatakiwa yule ambaye yupo tayari kumwaga mboga ili ikibidi kukosa wakose wote (wananchi wapate)
Kumsusia fisi bucha ni kumrahisishia kazi,fisi akomoleki
Angepata asingerudi karudi kwa shinikizo la kuepa kufilisiwaHakuwa mtu sahihi kwa upinzani bali alifuata madaraka. Na ndio maana saa hii karudi huko alikotoka na kakiacha chama na taswira mbovu. Siku zote tulipokuwa tunapambana yeye alikuwa wapi mpaka apewe nafasi muda mfupi kabla ya uchaguzi, na sasa kurudi alikotoka?
Ssm haiwezitena siasa za hoja itapigwa kweupe.Ni kweli, kama ni bucha la uchaguzi kwa hiki kinachoendelea ni bora waendelee na hilo Bucha, nyama ikiisha tutakutana nao kwenye mawindo mengine.