Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Alipima ila tungeumia sie tusioweza kodi ndege kukimbia
Kuumia hakukwepeki, uzoefu unaonyesha nchi nyingi za kiafrika heshima huja baada ya kumwagana kinyesi.
Alipima ila tungeumia sie tusioweza kodi ndege kukimbia
Ila chama kubwa ndio wanapiga ruzuku kubwa kuliko wote,si unajua tena.Tanzania hakuna wapinzani,kuna wapiga ruzuku na wapiga kelele
Sasa mnawalazimisha nini kushiriki uchaguzi?Siioni unpinzani hapa, wote waska tonge, watafute kazi nyingine ya kufanya. Wananchi wanawashangaa
Huwezi kuyataka mabadiliko alafu ukaogopa kukimbia wala kuumia!!Alipima ila tungeumia sie tusioweza kodi ndege kukimbia
Angepata asingerudi karudi kwa shinikizo la kuepa kufilisiwa
Leo asubuhi nilikuwa naangalia kipindi cha baragumu live, basi palikuwa na mgeni pale studio akupamba serikali ya awamu ya tank mpaka nikadhani yeye ndio Dr Abbas kumbe mwishoni naambiwa huyu ndio sheikh mkuu wa Dsm, kwakweli nilichoka maana alialikwa pale kuongelea maulid mazazi ya mtume lakini akaona kina Dr Abbas, Harmonizer na Nandy bado hawajulii mapambio.
Shame.
Ssm haiwezitena siasa za hoja itapigwa kweupe.
Siioni unpinzani hapa, wote waska tonge, watafute kazi nyingine ya kufanya. Wananchi wanawashangaa
Ila ni bora kuliko maweHapa ndio umezungumza kitu kinachoningia akilini, sio Lowassa yule mzee tapeli la kisiasa.
Leo asubuhi nilikuwa naangalia kipindi cha baragumu live, basi palikuwa na mgeni pale studio akupamba serikali ya awamu ya tank mpaka nikadhani yeye ndio Dr Abbas kumbe mwishoni naambiwa huyu ndio sheikh mkuu wa Dsm, kwakweli nilichoka maana alialikwa pale kuongelea maulid mazazi ya mtume lakini akaona kina Dr Abbas, Harmonizer na Nandy bado hawajulii mapambio.
Shame.
Hata chattle na kolomije kuna upinzani mkali sana!Wananchi wa chattle labda.
Chaďema imesusa ìla upinzani haujasusa. Jipngeni.Kuna kila dalili kuwa punde si punde upinzani utaitwa kwa mwamvuli wa viongozi wa dini (yale mapandikizi).
Lengo ni kuwarubuni ili wayakane matamko yao ya kususia uchaguzi!
Ni hivi; upinzani mnatakiwa mjue kuwa wananchi wanawachora tu!
Na siku zote wanalalamika kuwa vyama vyenu na imani waliyoweka kwenu ndo factors zinazowakwamisha kwenye harakati za kufikia demokrasia kamili!
Mnatoa matamko then ghafla mnayatengua na kulamba matapishi yenu!
This time wananchi wamechoka!
Mkiitwa na mkikubali kwenda wananchi hawataacha salama.
Be squarely warned!
Viongozi pandikizi wa dini zote na wale wote mnaojipendekeza kwa kificho na wazi wazi mkae mkijua kuwa upepo utawabadilikia very soon!!
cc Zitto Yericko Nyerere freeman Mbowe
Ila ni bora kuliko mawe
Kuna kila dalili kuwa punde si punde upinzani utaitwa kwa mwamvuli wa viongozi wa dini (yale mapandikizi).