... kwa kuerejea yaliyotokea Znz 2015 ni mfano wa dhahiri kabisa. Jecha naye kachukua fomu ya urais Zanzibar 2020!Ata wananchi wote wachague upinzani wabaki askari tu basi ccm itashinda kishindo, ivi kweli kuna mtu anatamaa ya upinzani kushika dola? Mm sina chama lakini Ccm kuacha nchi ni ngumu ata kama upinzani utashinda
... kwa kuerejea yaliyotokea Znz 2015 ni mfano wa dhahiri kabisa. Jecha naye kachukua fomu ya urais Zanzibar 2020!
Upande wa CCM unamtaja Magufuli, upinzani unababaika unataja wengi. Ebu taja mmoja toka upinzani unayeona anaweza kupambana na Magufuli.Upinzani Mkubwa Niliowahi Kushuhudia Kwa Suala La Siasa Hasa Kwa Uchaguzi Wa Rais Tanzania Ulioshirikisha Vyama Vingi, Ni Ule Wa 1995 Kati Ya Mrema Na Mkapa Na Wa Pili Ni Ule Wa 2015 Kati Ya Lowasa Na Magufuli.
Chaguzi Zingine Zote Hazikuwa Na Upinzani Wa Kutisha. Wapo Wengi Wanadai Hata Mwaka Huu Utakuwa Na Upinzani Mkubwa Lakini Binafsi Sijaona Bado Dalili Kama Ilivyokwa Miaka Hiyo. Je Ni Magufuli Na Zitto?
Je Ni Nyalandu, Msigwa Au Lissu Na Magufuli? Nini Dalili Zinazoashiria UPINZANI MKUBWA Mwaka Huu
Sijakusoma Bado NduguTunataka “Swahili spring”
Bila kupigana , wapinzani wasahau kuongoza nchi.Ata wananchi wote wachague upinzani wabaki askari tu basi ccm itashinda kishindo, ivi kweli kuna mtu anatamaa ya upinzani kushika dola? Mm sina chama lakini Ccm kuacha nchi ni ngumu ata kama upinzani utashinda
Mwaka huu CCM kama chama ilitakiwa kusambaratika kabisa, na kiukweli CCM haipo kama chama tulicyowahi kukiona kikiwepo miaka yote.Upinzani Mkubwa Niliowahi Kushuhudia Kwa Suala La Siasa Hasa Kwa Uchaguzi Wa Rais Tanzania Ulioshirikisha Vyama Vingi, Ni Ule Wa 1995 Kati Ya Mrema Na Mkapa Na Wa Pili Ni Ule Wa 2015 Kati Ya Lowasa Na Magufuli.
Chaguzi Zingine Zote Hazikuwa Na Upinzani Wa Kutisha. Wapo Wengi Wanadai Hata Mwaka Huu Utakuwa Na Upinzani Mkubwa Lakini Binafsi Sijaona Bado Dalili Kama Ilivyokwa Miaka Hiyo. Je Ni Magufuli Na Zitto?
Je Ni Nyalandu, Msigwa Au Lissu Na Magufuli? Nini Dalili Zinazoashiria UPINZANI MKUBWA Mwaka Huu
Bila kupigana , wapinzani wasahau kuongoza nchi.
Ni Tz tu maajabu haya, mm nilicheka sana niliposkia jecha kachukua form hahahahha
Upande wa CCM unamtaja Magufuli, upinzani unababaika unataja wengi. Ebu taja mmoja toka upinzani unayeona anaweza kupambana na Magufuli.
Wengi kivipi? Hata CCM wako wengi ila anatakiwa mmoja tu siyo zaidi kugombea, Sasa taja mmoja wa kupambana na Magufuli.Mboni wako wengi Sana hataal Magufuli anawajua vizuri Sana. Mwambie Magufuli aruhusu TUME HURU YA UCHAGUZI uone Kama atatoboa!!!!
Labda ZZKUpande wa CCM unamtaja Magufuli, upinzani unababaika unataja wengi. Ebu taja mmoja toka upinzani unayeona anaweza kupambana na Magufuli.
Hiyo haiwezekani. Kuna kiongozi mmoja wa ccm kule Zanzibar alisema wao nchi hawakuipata kupitia sanduku la kura.Natamani Sana Jecha wa Jecha apitishwe kama Mgombea Urahisi wa Zenj...na baada ya Uchaguzi Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi AFUTE MATOKEO NA KUTANGAZA UCHAGUZI MPYA HALAFU Jecha AAMBULIE PATUPU......Itapendeza Sana!
Hiyo Arab spring imesaidiaje kwa mfano? Mmekalia kuiga misemo ya wazungu tu kila kukicha.Tunataka “Swahili spring”
Waliotangaza Nia Upinzani Ni Wengi Ndo Maana Nimetoa Majina Machache Na Hasa Ya Kambi Kuu CHADEMA. Hofu Yangu Ni Kwamba Baada Ya Uteuzi Wa Jina Moja Waloshindwa Hawatatengeneza Upinzani Wa Ndani Utakaoruhusu Upande Wa Pili Kutoboa? Najua Ccm Wao Kwa Taratibu Zao Ambazo Sijui Kama Ni Rasmi Sana Magu Hana Mshindani Na Hata Ukitokea Upinzani Wa Ndani Basi Utakuwa Kifichoni Tena Kwa Hofu.Mboni wako wengi Sana hataal Magufuli anawajua vizuri Sana. Mwambie Magufuli aruhusu TUME HURU YA UCHAGUZI uone Kama atatoboa!!!!