Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 5,883
- 12,570
Kapigane na ndugu zako. (mke, mtoto, kaka, dada,baba, mama, shangazi, mjomba)Bila kupigana , wapinzani wasahau kuongoza nchi.
Hoja zimekushinda unaanza kuleta Vihoja.
Mawazo mfu kabisa haya.
Kapigane na ndugu zako. (mke, mtoto, kaka, dada,baba, mama, shangazi, mjomba)Bila kupigana , wapinzani wasahau kuongoza nchi.
Vaa nguo ya ndaniKapigane na ndugu zako. (mke, mtoto, kaka, dada,baba, mama, shangazi, mjomba)
Hoja zimekushinda unaaza kuleta Vihoja.
Mawazo mfu kabisa haya.
Kama tume ya uchaguzi ndiyo itaamua basi Jecha keshashindaUpinzani vyovyote uwavyo uwe, tume ya uchaguzi itende haki. Yatosha.
Udikteta umeharibu kila kitu.Upinzani Mkubwa Niliowahi Kushuhudia Kwa Suala La Siasa Hasa Kwa Uchaguzi Wa Rais Tanzania Ulioshirikisha Vyama Vingi, Ni Ule Wa 1995 Kati Ya Mrema Na Mkapa Na Wa Pili Ni Ule Wa 2015 Kati Ya Lowasa Na Magufuli.
Chaguzi Zingine Zote Hazikuwa Na Upinzani Wa Kutisha. Wapo Wengi Wanadai Hata Mwaka Huu Utakuwa Na Upinzani Mkubwa Lakini Binafsi Sijaona Bado Dalili Kama Ilivyokwa Miaka Hiyo. Je Ni Magufuli Na Zitto?
Je Ni Nyalandu, Msigwa Au Lissu Na Magufuli? Nini Dalili Zinazoashiria UPINZANI MKUBWA Mwaka Huu
ni kwel kwa sasa sijui tufanyeje tz kila chama kimeathirika kwa hiliUdikteta umeharibu kila kitu.
MTANANGE ILI UNOGE AWE AIDHA MAGUFULI NA LISSU AU KAMA VIPI MAGUFULI NA ZITTO hawa wanaweza fika hata roundi ya kumi kati ya 12 lakini wengine waliobaki hawafiki hata roundi ya 3Upinzani Mkubwa Niliowahi Kushuhudia Kwa Suala La Siasa Hasa Kwa Uchaguzi Wa Rais Tanzania Ulioshirikisha Vyama Vingi, Ni Ule Wa 1995 Kati Ya Mrema Na Mkapa Na Wa Pili Ni Ule Wa 2015 Kati Ya Lowasa Na Magufuli.
Chaguzi Zingine Zote Hazikuwa Na Upinzani Wa Kutisha. Wapo Wengi Wanadai Hata Mwaka Huu Utakuwa Na Upinzani Mkubwa Lakini Binafsi Sijaona Bado Dalili Kama Ilivyokwa Miaka Hiyo. Je Ni Magufuli Na Zitto?
Je Ni Nyalandu, Msigwa Au Lissu Na Magufuli? Nini Dalili Zinazoashiria UPINZANI MKUBWA Mwaka Huu
Sio vyama vya upinzani pekee, bali kila mtanzania ameathirika vibaya sana na inaelekea kwamba athari hizi zitadumu kwa miaka kadhaa kwani tumeharibu utamaduni wetu wa kuheshimiana na kutendeana haki.ni kwel kwa sasa sijui tufanyeje tz kila chama kimeathirika kwa hili
mmm umesema kweliSio vyama vya upinzani pekee, bali kila mtanzania ameathirika vibaya sana na inaelekea kwamba athari hizi zitadumu kwa miaka kadhaa kwani tumeharibu utamaduni wetu wa kuheshimiana na kutendeana haki.