Upinzani mkubwa katika historia ya Urais Tanzania

Udikteta umeharibu kila kitu.
 
Upinzani mwaka huu ndio utakuwa mkali zaidi na ndio maana ccm na tume yake wameamua kuunda sheria nyingi mbovu ili kujinusuru.
Ccm bila wizi wa kura hawawezi kutoboa.
 
After all, uchaguzi huu ni kati ya Upinzani Vs Tume ya Uchaguzi.
 
MTANANGE ILI UNOGE AWE AIDHA MAGUFULI NA LISSU AU KAMA VIPI MAGUFULI NA ZITTO hawa wanaweza fika hata roundi ya kumi kati ya 12 lakini wengine waliobaki hawafiki hata roundi ya 3
 
ni kwel kwa sasa sijui tufanyeje tz kila chama kimeathirika kwa hili
Sio vyama vya upinzani pekee, bali kila mtanzania ameathirika vibaya sana na inaelekea kwamba athari hizi zitadumu kwa miaka kadhaa kwani tumeharibu utamaduni wetu wa kuheshimiana na kutendeana haki.
 
Sio vyama vya upinzani pekee, bali kila mtanzania ameathirika vibaya sana na inaelekea kwamba athari hizi zitadumu kwa miaka kadhaa kwani tumeharibu utamaduni wetu wa kuheshimiana na kutendeana haki.
mmm umesema kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…