Upinzani msije mkafanya kosa mkaondoa wagombea pale mnapowaunga mkono wengine

Upinzani msije mkafanya kosa mkaondoa wagombea pale mnapowaunga mkono wengine

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Kwanza nawalaumu CHADEMA kwa kutoweka wagombea Pemba na Unguja,hili ni kosa linalowagharimu upinzani,mnaposhirikiana mnatakiwa muwe pamoja ndivyo alivyoondolewa Hitler wa Ujerumani.

Ninachowataka kwa hawa waliobakia wawepo wepo tu na kampeni za uwongo na kweli,wakati nia ni kumuunga mkono mgombea wa chama fulani,tunaona leo hii CCM na Tume yao wanatafuta njia ya kumuengua Lisu linalowakwamisha ni kwamba yupo Membe katulia na hajasema anaunga mkono au kama amesema ni kumtumia tweeter tu akinogesha.

Leo Membe akijitoa kesho yake Lissu anaondolewa kwa sababu zisizo na mashiko.
Pemba wameondolewa wagombea kibao wa ACT kama wangekuwepo wa Chadema inakuwa hakujaoza kitu,itakuwa mmenielewa,tulieni wananchi muwape uelewa tu kuiangusha CCM kumekaribia na majeshi yote ya wananchi yaelekezwe mkakati wa kulinda na kuzipeleka kura zao kwa mgombea mlengwa ambae ni Tundu Lisu,Membe awepo wepo tu akibangaiza huko na kule kuwapumbaza CCM na hila zao.
 
Act wanamuunga mkono mgombea wa CHADEMA wakati mgombea wao yupo palepale,jambo linalowaumisha kichwa waharibifu wa uchaguzi huu,wanatamani wapate barua ya kujiondoa kutoka kwa membe,watasiri sana Membe ni mgombea halali wa ACT na anashinda uchaguzi bila ya kampeni na kura yake anaipeleka kwa Lissu.
 
Mgombea wetu wa CCM akiwa Zanzibar anawaeleza Wazanzibar kuwa wasiondoke uwanjani hapo maana akimaliza hotuba bado Kuna show kabambe kutoka kwa wasanii na watamuona nae akicheza.... Wazenji nao viburi wakaondoka wakati anazungumza. Aisee!
 
Bila shinikizo ya kijeshi toka nje ie International community, CCM hawawezi kuondoka madarakani, Lissu for sure atashinda, lkn je watamtangaza? Wakiacha kumtangaza kama hakuna shinikzo kama la ECOWAS wakati Yahaya Jammeh alipoleta ufidhuli, basi CCM wataendelea kupora maamuzi wa wananchi.
 
Mgombea wetu wa CCM akiwa Zanzibar anawaeleza Wazanzibar kuwa wasiondoke uwanjani hapo maana akimaliza hotuba bado Kuna show kabambe kutoka kwa wasanii na watamuona nae akicheza.... Wazenji nao viburi wakaondoka wakati anazungumza. Aisee!
Hapo ndipo utajua weupe kichwani wa mgombea badala ya Mc atangaze anaingilia yeye
 
Naona Membe sasa amekubalika rasmi kuwa ni mpinzani na sio pandikizi.
 
Back
Top Bottom