Upinzani msiruhusu CCM waendeshe Bunge na nchi pekee yao. Nchi ni yetu sote tusikubali kamwe

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Amani iwe kwenu wajumbe!

Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo.

Serikali ya CCM imekua na rekodi ya kuiba na kufisadi mali za umma na upinzani pekee ndiyo uliokua jicho pekee la kumulika uchafu huo.Sasa CCM wametumia vibaya mamlaka ya kidola kuwapora upinzani ushindi wao ili waendelee waliyokuwa wakiyafanya huko nyuma.

Duniani kote hakuna mfumo wa kiutawala uliowahi kubadilishwa bila jasho na machozi ya watu. CCM wanasubiri machozi yaanze kudondoka ndio wajiondoe kwenye mfumo, CCM wanasubiri jasho liwatokee wachache ndipo wajiondoe kwenye mfumo. Huo ndio wakati wenyewe wa kufanya maamuzi magumu kubadili mfumo unaotumiwa Vibaya na CCM.

Kama Zitto Kabwe ametuhumu with Evidence kwamba TIS ndio waliohusika kuchakachua uchaguzi huu,wanafanya haya kwa faida ya nani? DSO anaandika matokeo kama nani? Yeye ni afisa wa tume au nani?

Ni wakati wa kuuondoa huu upuuzi unaoendekezwa na watu wachache. Hii nchi ni yetu sote, Mwalimu alituletea mfumo wa vyama vingi tuwe huru kuchagua. Haturuhusu urithi huu kunajisiwa na washamba wachache wenye uchu wa madaraka. Tunahitaji mfumo mpya wa kiutawala whether CCM wakubali au wakatae.
 
Ni kweli lazima kujitoa mhanga vinginevyo hakuna kitachobadilika.

Mkitaka kujua watu wana hasira na machungu, someni comments baada ya Hussein Bashe kuandika tweet ya kumsifia Magufuli kwa eti kushinda uchaguzi.

Comments zimeishia kumfedhehesha yeye mwenyewe na Magufuli kutokana na lugha(abusive language) na maneno mengine makali watu waliotumia kumjibu Bashe.
 
Mkuu, mbona unajihangaisha kutisha watu na tangazo lako la mwezi uliopita? Acha upumbavu aisee, hatuwezi kuruhusu utawala wa kidikteta kutamalaki nchini. LAZIMA TUANDAMANE
Hilo ni zoezi Endelevu
 
Kabla haujashiriki maandamano jiulize;

1. Je, lengo lako ni kupindua serikali iliyoko madarakani? Kama ndio, je uko tayari kupambana na vyombo vilivyowekwa kisheria kuilinda serikali isipinduliwe? Je uko tayari kukabiliana na kesi ya uhaini?

2. Nini unategemea kitatokea baada ya hayo maandamano? Kama ni uchaguzi mpya, je nani ataitisha huo uchaguzi na kwa mujibu wa sheria ipi? Kama ni tume mpya, je nani ataiunda na kwa kutumia sheria gani?

3. Je, una uhakika watu wote wanaokuja kuandamana wana lengo lilelile unalofikiria wewe kichwani? Hakuna mtu anayetaka kutumia maandamano hayo kufanya uhalifu? Iwapo watakuwepo wahalifu, je uko tayari kuwa sehemu ya watakaochukuliwa hatua ya uhalifu?
 
Amani iwe kwenu wajumbe!

Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo.

Serikali ya CCM imekua na rekodi ya kuiba na kufisadi mali za umma na upinzani pekee ndiyo uliokua jicho pekee la kumulika uchafu huo.Sasa CCM wametumia vibaya mamlaka ya kidola kuwapora upinzani ushindi wao ili waendelee waliyokuwa wakiyafanya huko nyuma.

Duniani kote hakuna mfumo wa kiutawala uliowahi kubadilishwa bila jasho na machozi ya watu. CCM wanasubiri machozi yaanze kudondoka ndio wajiondoe kwenye mfumo, CCM wanasubiri jasho liwatokee wachache ndipo wajiondoe kwenye mfumo. Huo ndio wakati wenyewe wa kufanya maamuzi magumu kubadili mfumo unaotumiwa Vibaya na ccm.
Kama Zitto Kabwe ametuhumu with Evidence kwamba TIS ndio waliohusika kuchakachua uchaguzi huu,wanafanya haya kwa faida ya nani? DSO anaandika matokeo kama nani? Yeye ni afisa wa tume au nani?

Ni wakati wa kuuondoa huu upuuzi unaoendekezwa na watu wachache. Hii nchi ni yetu sote, Mwalimu alituletea mfumo wa vyama vingi tuwe huru kuchagua. Haturuhusu urithi huu kunajisiwa na washamba wachache wenye uchu wa madaraka. Tunahitaji mfumo mpya wa kiutawala whether CCM wakubali au wakatae.
Hizi ***** ***** zote fanyeni. Sisi raia tumeshamaliza kazi. Tuko na JPM hadi milele yote
 
Ni.kweli lazima kujitoa mhanga vinginevyo hakuna kitachobadilika.

Mkitaka kujua watu wana hasira na machungu, someni comments baada ya Hussein Bashe kuandika tweet ya kumsifia Magufuli kwa eti kushinda uchaguzi.

Comments zimeishia kumfedhehesha yeye mwenyewe na Magu kutokana na lugha(abusive language) na maneno mengine makali watu waliotumia kumjibu Bashe.
Hao walio comment wanatuzidi sisi watanzania mil 12.5 tuliomchagua Dkt Magufuli?
 
Baadhi ya response ya wajumbe walio wengi kuhusu upinzani wa Tanzania baada ya ujumbe wa mwenyekiti wa ACT huko IG. Mjumbe hauwawi

20201031_001337.jpg
20201031_001407.jpg
20201031_001453.jpg
20201031_001519.jpg
 
Attachments

  • 20201031_001558.jpg
    20201031_001558.jpg
    54.7 KB · Views: 8
Kwa serikali hii ya Magufuli mtachemka, hana muda wa kupoteza kujibu mapunguani. Wananchi wamewakataa, kwani kuna faida gani kuwa na wabunge kutwa kucha ni kubeza kila kitu, kupinga kila kitu, kesi kila siku wananchi tumeamua imetosha. Tunataka maendeleo sasa, ninyi andamaneni na familia zenu ila hamtatoboa zaidi ya mita 10.Ni zaidi ya utopolo, kuacha kujitoa mhanga kwa ajili ya future yako na kwenda kupambania chama chenye kupata kura 1M upuuzi mtupu.
 
Amani iwe kwenu wajumbe!

Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo.

Serikali ya CCM imekua na rekodi ya kuiba na kufisadi mali za umma na upinzani pekee ndiyo uliokua jicho pekee la kumulika uchafu huo.Sasa CCM wametumia vibaya mamlaka ya kidola kuwapora upinzani ushindi wao ili waendelee waliyokuwa wakiyafanya huko nyuma.

Duniani kote hakuna mfumo wa kiutawala uliowahi kubadilishwa bila jasho na machozi ya watu. CCM wanasubiri machozi yaanze kudondoka ndio wajiondoe kwenye mfumo, CCM wanasubiri jasho liwatokee wachache ndipo wajiondoe kwenye mfumo. Huo ndio wakati wenyewe wa kufanya maamuzi magumu kubadili mfumo unaotumiwa Vibaya na ccm.

Kama Zitto Kabwe ametuhumu with Evidence kwamba TIS ndio waliohusika kuchakachua uchaguzi huu,wanafanya haya kwa faida ya nani? DSO anaandika matokeo kama nani? Yeye ni afisa wa tume au nani?

Ni wakati wa kuuondoa huu upuuzi unaoendekezwa na watu wachache. Hii nchi ni yetu sote, Mwalimu alituletea mfumo wa vyama vingi tuwe huru kuchagua. Haturuhusu urithi huu kunajisiwa na washamba wachache wenye uchu wa madaraka. Tunahitaji mfumo mpya wa kiutawala whether CCM wakubali au wakatae.
Ndio tukutane j3 kwenye maandamano
 
Akina JK hawakuwaza vema wakati wa kupasiana kijiti.
JK aliangalia factor moja tu ya ukali lakini hakuenda mbali kujiridhisha na utu wa mrithi wake.
JK ametuletea shida watanzania.
 
Kabla haujashiriki maandamano jiulize;

1. Je, lengo lako ni kupindua serikali iliyoko madarakani? Kama ndio, je uko tayari kupambana na vyombo vilivyowekwa kisheria kuilinda serikali isipinduliwe? Je uko tayari kukabiliana na kesi ya uhaini?

2. Nini unategemea kitatokea baada ya hayo maandamano? Kama ni uchaguzi mpya, je nani ataitisha huo uchaguzi na kwa mujibu wa sheria ipi? Kama ni tume mpya, je nani ataiunda na kwa kutumia sheria gani?

3. Je, una uhakika watu wote wanaokuja kuandamana wana lengo lilelile unalofikiria wewe kichwani? Hakuna mtu anayetaka kutumia maandamano hayo kufanya uhalifu? Iwapo watakuwepo wahalifu, je uko tayari kuwa sehemu ya watakaochukuliwa hatua ya uhalifu?
Maandamano ni ya kutaka uchaguzi urudiwe siyo kupindua serikali

Acha watu waandamane ,kwani inakusumbua nini.
 
Uchaguzi urudiwe kwa pesa za Amsterdam sio?. Pelekeni uchu wenu wa madaraka huko kwa mabwana zenu. Tunu ya amani na utulivu tutailinda kwa gharama yoyote.
 
Amani iwe kwenu wajumbe!

Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo.

Serikali ya CCM imekua na rekodi ya kuiba na kufisadi mali za umma na upinzani pekee ndiyo uliokua jicho pekee la kumulika uchafu huo.Sasa CCM wametumia vibaya mamlaka ya kidola kuwapora upinzani ushindi wao ili waendelee waliyokuwa wakiyafanya huko nyuma.

Duniani kote hakuna mfumo wa kiutawala uliowahi kubadilishwa bila jasho na machozi ya watu. CCM wanasubiri machozi yaanze kudondoka ndio wajiondoe kwenye mfumo, CCM wanasubiri jasho liwatokee wachache ndipo wajiondoe kwenye mfumo. Huo ndio wakati wenyewe wa kufanya maamuzi magumu kubadili mfumo unaotumiwa Vibaya na ccm.

Kama Zitto Kabwe ametuhumu with Evidence kwamba TIS ndio waliohusika kuchakachua uchaguzi huu,wanafanya haya kwa faida ya nani? DSO anaandika matokeo kama nani? Yeye ni afisa wa tume au nani?

Ni wakati wa kuuondoa huu upuuzi unaoendekezwa na watu wachache. Hii nchi ni yetu sote, Mwalimu alituletea mfumo wa vyama vingi tuwe huru kuchagua. Haturuhusu urithi huu kunajisiwa na washamba wachache wenye uchu wa madaraka. Tunahitaji mfumo mpya wa kiutawala whether CCM wakubali au wakatae.

Ndio nyie wajinga mnapokosea

Ukiingiza tu TISS kwenye hizi issue, hakuna wa kujadili. Ni kama mmezika maada hii kwa makusudi au kuamua kabisa

Nchi gani, nani, dunia hii wa kugusa secret service ya nchi ingine??

Hivi mna akili??🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Akina JK hawakuwaza vema wakati wa kupasiana kijiti.
JK aliangalia factor moja tu ya ukali lakini hakuenda mbali kujiridhisha na utu wa mrithi wake.
JK ametuletea shida watanzania.
Mbona inasemekana sio JK bali ni hayati?
 
Uchaguzi urudiwe kwa pesa za Amsterdam sio?. Pelekeni uchu wenu wa madaraka huko kwa mabwana zenu. Tunu ya amani na utulivu tutailinda kwa gharama yoyote.
Sasa hiyo gharama utakayotumia kulinda tunu itumieni kutenda haki.
 
Hahaha yani bunge lao, polisi wao, mahakama zao, jeshi lao halafu waombe ruhusa upinzani kuendesha bunge?!
 
Uchaguzi umeisha jamani sasa tuijenge Tanzania yetu. Dunia nzima inajua wazalendo12M tumemchagua Magufuli.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom